Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

It's about time tuanze kushinda hizi big games.

Ole asiingie kiuoga uoga kama tulivyofanya kwenye game zilizopita..Yaani hatujashinda big match hata moja ukiacha ile tuliyoshinda dhidi ya vibonde Liverpool.

Na big players wetu ni muda wa kuwa clinical,serious na wa-turnup sasa kwenye big occassions.

Tuko darajani jumapili.

GGMU.
 
#UEL ROUND OF 16!
Screenshot_20210226-151915_Chrome.jpg
 
It's about time tuanze kushinda hizi big games.

Ole asiingie kiuoga uoga kama tulivyofanya kwenye game zilizopita..Yaani hatujashinda big match hata moja ukiacha ile tuliyoshinda dhidi ya vibonde Liverpool.

Na big players wetu ni muda wa kuwa clinical,serious na wa-turnup sasa kwenye big occassions.

Tuko darajani jumapili.

GGMU.
Kila siku unaimba wimbo huu huu na hakuna mabadiliko chanya....mdau huchoki kwani
 
Game ya kesho ni kipimo tosha cha kujua timu yetu imefika wapi.

Sorkskjaer ahakikishe points 3 anarudi nazo kama anahitaji kumaliza ndani ya big 4.

Ukizingatia msimu huu hatujashinda kwenye game yeyote na timu ngumu pale EPL swala ambalo baadhi ya mashabiki wamekua wakitilia wasiwasi na uwezo wa Sorkskjaer, so kwa kukata mzizi wa fitina kesho anatakiwa aje na dawa ya tatizo.

Kosa pekee atakalo fanya ni kumuweka nje Bailey na kuwaanzisha Maguare na mwenzie Lindelof, hapo tukipoteza nitamlaumu kocha.

Akibidi aje hivi

Cavani
Rashfood Fernandez Greenwood

Fred Tomney

Show Bailey Maguare Wan be Saka.

Degea.
 
kujadili mwenendo wa manchester united ni sawa kurejea kitabu ulichokwisha kisoma zaidi ya mara moja.
ari na hamasa kwangu imeondoka, ni bora niwe msomaji zaidi
Mkuu kweli inatia huzuni sana hasa ukizingatia tunagombea top 4 na si ubingwa.
Na tukifika CL kupita hatua ya makundi kwetu imekuwa changamoto pia.
Ni heri hata tuweke nguvu kwenye europa na FA ili msimu usiishe bure.
Nakuunga mkono na mguu.
 
Back
Top Bottom