Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

ndani wa wiki hii huenda tukaachwa kwa alama 15 au zaidi endapo
  1. tutashindwa kupata matokeo dhidi ya crystal palace siku ya jumatano
  2. tutashindwa kupata matokeo ya ushindi dhidi ya man city hapo jumapili
yote hayo ameyataka OLE, hapakuwa na sababu ya msingi ya kuachwa kwa alama 13 dhidi ya man city msimu huu.

sheffield united
west bromwich
everton
tumepata alama 2 kwenye 9

chelsea
arsenal
liverpool

tumepata alama 3 kwenye 9.
kwenye points 18 tumepata alama 5.

ukichukua alama 13 alizotuacha man city ujumlishe alama 5 tulizopata kwenye mechi 7 unapata jumla ya alama 18.
 
Ikifika stage kila mchezaji akawa analaumiwa basi ujue tatizo hapo sio wachezaji tena kama inavosadikika. Toka lini timu ikabadilishwa kikosi kizima. Nawaonea huruma sana hawa madogo laiti kama wangemkuta babu wangekula raha sana. Madogo hawa wanacheza chini ya makocha wa hovyo hovyo 2. Nd maan waling'aa sana kwa Van Gaal. Yule mzee ana mapungufu yake ila falsafa za vijana alikuwa vizuri sio utopolo wa sahv huu.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Furgusson hakuwa na timu nzuri kama hii lakini alikuwa akibeba makombe
 
sipo kwenye habari za matokeo ya uwanjani kwani eneo hilo namlaumu zaidi ole gunnar.
kama tunahitaji kuwa washindani barani ulaya tunahitaji kwanza tuwe na midfield wenye uwezo wa kuvuka ubora wa hawa tulionao, kwa sasa uwezo wa kununua bila ya kuuza ni mdogo sana(matajiri wetu si waarabu na corona inazidi kuadhibu vyanzo vya mapato ya uwanjani).

kama kutahitajika kuuzwa mchezaji ndipo aletwe mwengine ndio nimependekeza fred atolewe kafara.
sijamtaja matic kwa sababu safari yake inakaribia.
kama tutaianza tena ligi msimu ujao huku midfield wetu wakiwa ni scott fred basi hadithi zitakuwa ni zile kwa zile.
Tukirudi msimu ujao na solkjaer hat aje xavi na scholes hatutoboi. Jamaa hafundishi mpira anategemea uwezo binafsi wa wachezaji. Morali iko chini mara nyingi. Shida ya Manchester kila game Rashford anahitajika afanye alichokifanya na game ya newcastle. Sasa zile ni big moments haziji kila muda. Sometimez dg nae anatamani afinish simple pass. Rashford kila game anakimbizwa sana sijui kisa ana mbio hakuna watu wanasupply good balls maan bruno anazidiwa sasa. Kwa case ya fred namuona kabisa kakosa mwalimu anaejua fred achezeje. Fred hafungi tena kama shaktar haasist tena maan anachezeshwa bila mpango.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Kwa nafasi anayocheza Fred alitakiwa awe kiungo mchezeshaji sasa yeye ni butua butua tu na ndio maana Man U bila counter au Penalti hamuwezi funga. Mc Tomynay alitakiwa awe kiungo mshambuliaji ila nyie mnamfanya kiungo mkabaji. OGS anao wachezaji wazuri ila hajui kuwatum ia kama alivyokuwa Lampard wetu
Usimfananishe Sorkskjaer na hiyo taka taka babu, we vepe?
 
video nyengine zinaumiza sana pindi unapoziangalia
huyu rashford utadhani ana kichaa cha mbwa kwa jinsi anavyopoteza nafasi
bila ya kumsahau martial na greenwood

nafasi zote ni za msimu huu
 
Furgusson hakuwa na timu nzuri kama hii lakini alikuwa akibeba makombe
Yani ukipata kocha mzuri wachezaji wanafundishika. Kumbuka huyu fred anasemwa hapa pep nd mtu wa kwnza kumtaka na nd maana morinho alilazimisha ela nyng sana zitoke. Sasa jiulize hawa akina bernado silva akina sterling akina rodri mahrez wana maajabu gani ya hivyo? Unataka kunambia zichenko ni mzuri kuliko shaw. Hata stones anaeza kuwa bora sana kuliko maguire.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Manchester United have failed to score a single goal in their last six league meetings with Arsenal, Chelsea, Liverpool, Manchester City or Spurs – each of their last four such matches have finished goalless. Apprehension.
 
Yani ukipata kocha mzuri wachezaji wanafundishika. Kumbuka huyu fred anasemwa hapa pep nd mtu wa kwnza kumtaka na nd maana morinho alilazimisha ela nyng sana zitoke. Sasa jiulize hawa akina bernado silva akina sterling akina rodri mahrez wana maajabu gani ya hivyo? Unataka kunambia zichenko ni mzuri kuliko shaw. Hata stones anaeza kuwa bora sana kuliko maguire.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Wachezaji wengi pale wanahitaji mtu mkali asiyetaka mchezo. Babu Fergie unamsifia hapa kujua kuendeleza vijana alikuwa hai-entertain upuuzi alishawahi kumfokea Jonny Evans wazi wazi dhidi ya Ac Milan mwaka 2008 alitoa boko ilikuwa mechi ya UEFA.

Pep Guardiola hana mchezo nae ni mkali mno. Angalia hapa chini jinsi dressing room ya City kunavyowaka moto watu wakiwa wanafanya ujinga uwanjani.
 
video nyengine zinaumiza sana pindi unapoziangalia
huyu rashford utadhani ana kichaa cha mbwa kwa jinsi anavyopoteza nafasi
bila ya kumsahau martial na greenwood

nafasi zote ni za msimu huu
Stats zinasema Lewandoski na Ronaldo ndo wanaongoza kwa kumiss big chances msimu huu. Je hilo unalitafsiri vipi?

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Wachezaji wengi pale wanahitaji mtu mkali asiyetaka mchezo. Babu Fergie unamsifia hapa kujua kuendeleza vijana alikuwa hai-entertain upuuzi alishawahi kumfokea Jonny Evans wazi wazi dhidi ya Ac Milan mwaka 2008 alitoa boko ilikuwa mechi ya UEFA.

Pep Guardiola hana mchezo nae ni mkali mno. Angalia hapa chini jinsi dressing room ya City kunavyowaka moto watu wakiwa wanafanya ujinga uwanjani.
Ndo hico kikubwa pia manager anatakiwa kuonesha kuwa ni manager. Nlisikia ferguson somtimez alikuwa anawakimbiza wachezaji milimani. Sas huyu jmaa nd maan hafit man u kwsababu inaonekana wachezaji hawamuogopi.

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
sielewi ni kwa nini alisajiliwa donny van der beek.
hivi huyu jamaa alipokuwa ajax alikuwa anacheza nafasi gani?
jamaa ameanza mechi mbili tu za ligi, huo uzoefu ataupatia wapi kama anaendelea kuwekwa nje
Mimi hudhani kuwa ile ilikuwa wrong buy. DVDB ni mchezaji anayeweza zaidi mpira wa pasi nyingi kuliko mpira wa mperampera. Ole alianza na mpira huo ila baadae akaona ni ujinga sasa anacheza mpira wa asili wa United.

Binafsi nauona uchezaji wa Donny kama wa Juan Mata. Hawa ni wachezaji wa kucheza Ajax, Arsenal, Barca au City. Kwa United simuoni akicheza.
 
Back
Top Bottom