Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Chelsea v Manchester United spelled out tight tussle for Tuchel​

In possession, they used their very familiar build up with Cesar Azpilicueta, Christensen and Rudiger in the back 3 with N’Golo Kante and Mateo Kovacic as their double pivot.

Thomas Tuchel’s gameplan was to attract Manchester United’s extreme ball-sided pressing tactic and to switch sides right after drawing out the press. The idea would have worked if Manchester United stayed back and didn’t opt for pressing high as theirs is normally mid-high.
 
Kante na Kovacic hawakua wanamlenga Bruno.

Ole alimuweka Bruno hapo juu acheze nyuma ya Rashford ili kuwavuruga Kante na Kovacic ambao Mara nyingi mashambulizi ya Chelsea huanzia kwao. Na Bruno alifanikiwa hilo hadi hao viungo wakawa wanapoteza pasi.


Na Fred na McTomnay hawa walichezaja chini kutibua mipango ya kina Meson Mount na Zyench au Odoi. Na mipira yote iliyokua inaelekea kwa Mount au Zyench hawa kina Fred waliidhibiti na kuipush Chelsea nyuma kabisa.


Kwahiyo wachezaji wa UTD walifanya kile ambacho Ole alikua kawaelekeza
Kwa hiyo aliwaelekeza kuzuia tu na si kushinda mechi hatuna kocha pale.
 
ana mkataba wa miaka 2.
kuwa mvumilivu, tupo kwenye muelekeo bora.
dirisha lijalo tutasajili wachezaji watatu wenye ubora then tunakuwa tittle contender
  1. no striker, cavan anapewa mkataba mwengine
  2. jack grealish
  3. sancho
  4. beki wa kati mwenye umri mdogo, Ole hayupo tayari kumuacha lindelof na maguire
Kuwaacha hao ni ngumu sababu baily haeleweki tripu shamba tripu gereji...
 
Ole ni mwalimu mzuri ameweza Ku expose weakness za Chelsea na Tuchel. Tumpe heshima yake ktk hilo. Amekuja darajani na approach na Tactics ambazo zimefanya kz na Chelsea had to suffer the whole first half. Ktk game 9 alizocheza Tuchel hajakutana na kikwazo kigumu km jana. Yaani ata Spurs na Mourinho walishindwa na ata ATM na Simeon walishidwa lkn Ole kafanikiwa sn. Tumpe heshima yake
kwa hiyo Ole mi tena au sio
 
Vitu vitatu vilivyotukosesha ushindi leo:

1. Tumenyimwa penalty ya wazi pamoja na VAR kutumika.

2. Ole Gunnar Solskjaer ni kocha wa kawaida sana, United ina wachezaji wakali ila mpira wanaocheza ni kituko.

3. McTominay katulaza na viatu kama mdogo wake Rashford alivyofanya kwenye game ya Liverpool pala Anfield. Nilitegemea Scott atapiga mpira wa juu kwenye ile counter attack badala yake akapiga chini ukaishia miguuni mwa mabeki wa Chelsea.

Chelsea leo wametuzidi karibia kila kitu uwanjani, ni wazi unaona mabadiliko yao kiuchezaji chini ya Tuchel. Hapa kwa Ole tutasubiri sana.View attachment 1714270
Hatunaga kocha pale Mkuu
 
If Tuchel’s men wanted to switch sides of play, the visitors’ narrow space occupation allowed themselves to shift without losing shape, pressure on the ball and the ability to be compact. The Chelsea players reacted like most footballers react when they feel like their teammates need help progressing the ball- they come closer to help; this again allowed Man Utd to track their opponent’s movements, with their pivot players following the Blues’ number 10s and their full backs tracking down Chelsea’s wing backs.
 
Kati ya vitu ambavyo vingeshangaza duniani ni timu yenye wachezaji akina Wan Bisaka,Martial, Tuanzebe,Fred, Halima Gwaya kuwa bingwa,nisingeangalia tena mpira wa England maishani.
Ngoja tupindue meza ndo utajua hujui mech 12 chochote kinatokea
 
Sosha hajakaa kiubingwa kabisaaa kwa alipofikia inatosha sasa afukuzwe tu.....ajae kazi yake ni kutupa makombe tu....imenikumbusha madrid iliyotengenezwa na mou zizou akaja jibebea makombe mpaka akakimbia
 
Sosha hajakaa kiubingwa kabisaaa kwa alipofikia inatosha sasa afukuzwe tu.....ajae kazi yake ni kutupa makombe tu....imenikumbusha madrid iliyotengenezwa na mou zizou akaja jibebea makombe mpaka akakimbia
Mzee wa "Hajafukuzwa tu?"..heshima yako.
 
ana mkataba wa miaka 2.
kuwa mvumilivu, tupo kwenye muelekeo bora.
dirisha lijalo tutasajili wachezaji watatu wenye ubora then tunakuwa tittle contender
  1. no striker, cavan anapewa mkataba mwengine
  2. jack grealish
  3. sancho
  4. beki wa kati mwenye umri mdogo, Ole hayupo tayari kumuacha lindelof na maguire
Mpaka sasa tungekuwa title contender iwapo recruitment department ingekuwa inatatua matatizo sahihi ya United badala ya kufanya patchwork.

Kama walikuwa wameshamsajili Bruno Fernandez hawakuwa na sababu yoyote ya msingi ya kumsajili Donny kwa sababu ni midfielders ambao hawana ball retention capacity wanapocheza, japokuwa Donny na Bruno wote ni wachezaji wazuri na wanatofautiana quality lakini wana weakness inayokaribiana hawatunzi mpira timu inapokuwa nao tatizo hili linakuwa kubwa zaidi ukizingatia pia Fred na Scot hawana uwezo mkubwa wa possession pia.

Mpaka sasa United inahitaji usajili tena wa wachezaji watatu muhimu ili timu iweze kuwa na balance nzuri.

Wing ya kulia, Center back mmoja na Central Midfielder au Holding atakaye complement weakness za Bruno na Donny.

Pogba anaweza kufanya hiyo kazi ya CM lakini anahitaji holding midfielder makini na mpambanaji sawa na Ng'olo Kante, Joshua Kimmich, Goretzeka au Fernandinho.

Center backs wetu kuendelea kuwa pazia msimu huu ni ishara kuwa either hawaendani kiuchezaji au wanauzembe unaofana.

Tuendelee kuupa muda nafasi huenda ukatupa mwanga zaidi juu ya mwelekeo wa timu yetu.
 
Mzee wa "Hajafukuzwa tu?"..heshima yako.
Ndugu yangu acha tu nina mengi sana ya kuandika hapa ila uvivu wangu ndio unaniponza ila kwa alipofikia sosha inatosha sasa mi namshukuru tu kwa kuirudisha timu kwenye mstari full umoja na mshikamano kwa sasa tunataka master of tactician tu wa kumalizia mchezo aliouanza sosha......tunahitaji mtu wa kupambana na ubongo wa pep na klopp full stop.....
 
Haiwezekani utolewe nusu fainali nne narudia tena nusu fainali nne....mou kaja tu europa hii hapa sasa nabaki kujiuliza tu izo nusu fainali nne angekua kwenye benchi mou sijui leo tungekua tunazungumza nini
 
Back
Top Bottom