mpaka dakika 27 alikuwa amegusa mpira mara 13 (mipira 5 pungufu ya aliogusa david degea), nafasi ndogo tu aliyopata amewaadhibu evertonHuyu Bruno tukimsaidia km team ballon dor inamuhusu huyu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Usisahau kumuangalia mcTomy mkuu anacheza vzr mnooooo.Greenwood wa moto sana yaani sana kwa leo
Lile goli la bruno fernandez zuri sana
Ndo alivyo huyu anaiga njia za kaka yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]mpaka dakika 27 alikuwa amegusa mpira mara 13 (mipira 5 pungufu ya aliogusa david degea), nafasi ndogo tu aliyopata amewaadhibu everton
Formula yake ndo inatumika kuanzisha kampuni kama Qnet.Goal la Bruno unaweza kuombea mkopo.
yule kaka mkubwa anatisha sana.Ndo alivyo huyu anaiga njia za kaka yake [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Perfection imezingatiwa, makosa machache mnoo, yn tunacheza na Everton lkn km tunacheza na Ipswich town [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Leo timu yetu imecheza kwa ubora sana mpira umeeleweka
[emoji23][emoji23][emoji23] kwa kweliMsimu wa Embe huu ngedere akikonda ni kujitakia.