The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mwanga yule jamaa (master mason) lina degree 12yule kaka mkubwa anatisha sana.
wenzake wamekimbilia ukocha






Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanga yule jamaa (master mason) lina degree 12yule kaka mkubwa anatisha sana.
wenzake wamekimbilia ukocha






Japo ndio ametoa assist goli la 1 ila zaidi ya hapo hakuna anacho offer
Kuna jamaa hapendi akiona Bruno anang'aa, mm namuambia akubali tu cz wazungu wana kamsemo kao wanasema "let strong man passes by" utaumia bure wkt wa Bruno







Hahahahaaaaaaaaaaaaaa ila mimi nilianza kushikwa na MTH 105 ..Umenikumbusha mbali Sana.Goal la bruno linachomoa Suplimentary ya MTH 106 third attempt pale Freedom square
Bruno ni exceptional, kipind heaters wanapotamani aharibu ndio anazidi ku deliverKuna jamaa hapendi akiona Bruno anang'aa, mm namuambia akubali tu cz wazungu wana kamsemo kao wanasema "let strong man passes by" utaumia bure wkt wa Bruno
Sent using Jamii Forums mobile app
Japo ndio ametoa assist goli la 1 ila zaidi ya hapo hakuna anacho offer
Ah ah Mkuu ilikuwa sio poa yan sikuiyo wadau kama wote vileHahahahaaaaaaaaaaaaaa ila mimi nilianza kushikwa na MTH 105 ..Umenikumbusha mbali Sana.
Bruno ni exceptional, kipind heaters wanapotamani aharibu ndio anazidi ku deliver
Utaanza wewe.Leo mnainamishwa
Ndo position yake hyo sema imekataa tu ila wanabadilishana vzr na dogo, ninachompendea Greenwood huwa hapotezi mipira hovyo, lkn naye apunguze back passes.Holi la Cavani ni cross murua, kipimo cha kipekee kutoka kwa Rashford. Rashford alibadili position, akaenda upande wa Greenwood akafanya mambo. Huenda position ya kushoto inamsumbua.




Beki ndo amezingua mkuuDegea mjinga sana.