Anatumia nguvu kubwa sana kuliko akili ni kama Phil Jones tu.Na hiyo ndo shida,jamaa hawezi kucheza mechi tano mfululizo.
Cavani na Scot ni majeruhi hivyo hawatacheza kesho.Game ya kesho ni kipimo tosha cha kujua timu yetu imefika wapi.
Sorkskjaer ahakikishe points 3 anarudi nazo kama anahitaji kumaliza ndani ya big 4.
Ukizingatia msimu huu hatujashinda kwenye game yeyote na timu ngumu pale EPL swala ambalo baadhi ya mashabiki wamekua wakitilia wasiwasi na uwezo wa Sorkskjaer, so kwa kukata mzizi wa fitina kesho anatakiwa aje na dawa ya tatizo.
Kosa pekee atakalo fanya ni kumuweka nje Bailey na kuwaanzisha Maguare na mwenzie Lindelof, hapo tukipoteza nitamlaumu kocha.
Akibidi aje hivi
Cavani
Rashfood Fernandez Greenwood
Fred Tomney
Show Bailey Maguare Wan be Saka.
Degea.
Mechi ya kesho inauwezekano mkubwa sana wa kutoa sare.Game ya kesho ni kipimo tosha cha kujua timu yetu imefika wapi.
Sorkskjaer ahakikishe points 3 anarudi nazo kama anahitaji kumaliza ndani ya big 4.
Ukizingatia msimu huu hatujashinda kwenye game yeyote na timu ngumu pale EPL swala ambalo baadhi ya mashabiki wamekua wakitilia wasiwasi na uwezo wa Sorkskjaer, so kwa kukata mzizi wa fitina kesho anatakiwa aje na dawa ya tatizo.
Kosa pekee atakalo fanya ni kumuweka nje Bailey na kuwaanzisha Maguare na mwenzie Lindelof, hapo tukipoteza nitamlaumu kocha.
Akibidi aje hivi
Cavani
Rashfood Fernandez Greenwood
Fred Tomney
Show Bailey Maguare Wan be Saka.
Degea.
Walimchosha sana yeye pekee ndo alikuwa anapambanaIla hatoisahau ile game pale wembley
Hizi ndiyo mechi tulizopotezea mwelekeo.utofauti wa points 10 dhidi ya manchester city umetokea hapo na si kwamba walituacha tokea mwanzoni mwa ligi kama ilivyozoeleka misimu iliopita.
- suluhu dhidi ya liverpool, ok unaweza kusema liverpool bado ilikuwa ni timu tishio pale anfield
- suluhu dhidi ya everton, hii ilikuwa ni suluhu yenye kuzuilika kwa sababu tulikuwa mbele kwa magoli mawili na baadae tukawa mbele tena kwa goli la 3
- kufungwa na sheffield
- suluhu dhidi ya west bromwich huku tukiendelea kuonyesha udhaifu dhidi ya low blocks setup
- suluhu dhidi ya arsenal iliokosa huduma ya saka na aubameyang
- tumekuwa tukicheza ovyo second half na hata namba ya ufungaji wa magoli imekuwa ikipungua, rejea mechi ya west bromwich, sheffield baada ya kuwarejeshea goli, everton baada ya kuwafunga goli la 3
wiki 8-10 nyuma manchester city walikuwa wanashika nafasi ya 9 huku wakiwa na mechi 1 mkononi, tafsiri yake ni kwamba walikuwa na form mbovu ya kiuchezaji mpaka wachambuzi wakawa na wasiwasi na pumzi ya guardiola na kikosi chake.
wiki za mbeleni man city wakaongoza wao ligi kwa alama 7 huku wakiwa na mechi moja mkononi (kabla ya kucheza na everton), kwa takribani mechi 7 hadi 10 manchester city wamecheza wakiwa wanakosa huduma ya mshambuliaji, changamoto hii ndio imeibua ubora wa manchester city (tatizo wameligeuza fursa) hatimaye wamekuwa wakibadilisha shapes tofauti za kiuchezaji (mara 3-4-3, 3-3-4) ndani ya uwanja mpaka kuzalisha unbeaten run kwa takribani mechi 21.
mechi nyingi za karibuni tunaziamua kutokana na jinsi adui anavyoamka (angalia jinsi sociedad walivyokuja tofauti dhidi yetu, najua tutasingizia kupata matokeo bora kwa mechi ya kwanza),
atleast ilihitajika liwepo gapes la pointi 4 na si 10 kwa sababu sisi hatujapata tatizo la majeruhi kwa wachezaji wetu muhimu ukilinganisha na man city, leicester city na liverpool.
mwalimu wetu ana muhali (woga wa msimamo dhidi ya wachezaji wazembe)
@Kitoabu buana. Mbona nimetumia kiswahili rahisi tu. Sijasema hamuwezi kushinda. Hoja ilikuwa inahusiana na uwezi wa kocha tactically. Leo naombea mshinde maana nyie siyo washindani wangu top four.Kesho tukishinda uje uifute hii comment yako.
Chelsea yupi uyo mkuu..kama ni Chelsea ya mtaani kwenu sawa..Hakiwezi kuwa kipimo hiki..
Mfano wa kipimo inabidi iwe;
✓Kumfunga Chelsea kesho kutwa,na Manchester City kwenye game inayokuja soon.
Wana timu mbovu ila watasingizia Kwamba wana game ngumu vs Chelsea.Kwa nini mlishindwa kupata goli?



Huyu J. Cole na Ivanovic walimficha mfukoni ..hamna kitu humo..Huyu mwamba alikuwa anapiga kazi balaaView attachment 1712603



Uko kwao Ivory coast wanamloga na ukizingatia na uracist wa Ole ndo kabisa kiwango kinaporomoka.Majeruhi hayamwangushi peke yake, mpaka mimi shabiki wake yana niathiri.
Pata picha angekua yuko fiti msimu mzima, akina Maguar & Lindelof wangekua wanagombea nambamba tu.
Hili timu ni litakataka mkuu wala lisikupe presha za kijinga ..leo hili jitu litakufa..kujadili mwenendo wa manchester united ni sawa kurejea kitabu ulichokwisha kisoma zaidi ya mara moja.
ari na hamasa kwangu imeondoka, ni bora niwe msomaji zaidi






Utashinda njaa tu mkuu.Kesho tukishinda uje uifute hii comment yako.
Sare ipi wewe ..leo unakalia ukuni pale darajani sisi hatunaga cha msalia mtume..Kesho sare tena inanukia
Matokeo ubingwa tunaachana nao kesho kwani Manchester City kwa ushindi wa leo katuacha point 13 tutapunguza moja tu



Tetesi zipo hivi;dirisha lijalo
baada ya makusanyo ya kusadikika
- uza fred ikijitokeza team yenye ofa nzuri ya kuanzia paundi millioni 27 / mjadala mzito huu
- uza jesse lingard japo kwa paundi millioni 15
- antony martial apewe nafasi ya mwisho
- mkono wa kwaheri kwa juan mata
- ole apunguze mapenzi kwa phil jones,
- antonio conte akimuhitaji matic apewe (mzee wa kukusanya vizee)
View attachment 1713136
- kalvin phillips
- miguu ya jack grealish au mchezaji mwenye sifa zake