Mbeya City Spurs I
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 482
- 1,026
Hauachi vituko vyako. Hako kabastola kako kananichekeshaga sana.Mkuu wewe hapo Spurs unajilazisha tu, kwanini usirudi nyumbani kumenoga?
Hauachi vituko vyako. Hako kabastola kako kananichekeshaga sana.Mkuu wewe hapo Spurs unajilazisha tu, kwanini usirudi nyumbani kumenoga?
Hata mimi hapa nilipo kidogo nime pumua.Socha atakuwa anafurahi sana saivi kwa haya matokeo ya leicester..
Kwahiyo utamfuata huko aendako?Mourinho ni serial winner. Kutimuliwa ni miongoni mwa mambo yanayomjenga na kumkomaza. Mimi mwenyewe shabiki wake nilitimuliwa kazi siku aliyotimuliwa United. Sasa unategemea nini hapo. Nitawaza kweli Jose kutimuliwa Spurs!
Namkumbuka Henrik Lasson na kipara chake.★Who's the first player that comes to mind when you see this kit?
Me:Cristiano & Rooney★
#GGMU
manutd | View attachment 1714041
Mbona kama unajitekenya kisha unacheka mwenyewe?
Eti karate,Kwahiyo utamfuata huko aendako?
Mkuu utakufa kwa pressure bure, rudi home kumenoga.
Huyo Morinho hana maajabu yeyote na kuhakikishia, mwisho wa picha utamsikia yuko China, anacheza kareti.








Michael Carrick★Who's the first player that comes to mind when you see this kit?
Me:Cristiano & Rooney★
#GGMU
manutd | View attachment 1714041