Manchester United (Red Devils) | Special Thread

kujadili mwenendo wa manchester united ni sawa kurejea kitabu ulichokwisha kisoma zaidi ya mara moja.
ari na hamasa kwangu imeondoka, ni bora niwe msomaji zaidi
Mkuu kweli inatia huzuni sana hasa ukizingatia tunagombea top 4 na si ubingwa.
Na tukifika CL kupita hatua ya makundi kwetu imekuwa changamoto pia.
Ni heri hata tuweke nguvu kwenye europa na FA ili msimu usiishe bure.
Nakuunga mkono na mguu.
 
Mkuu kweli inatia huzuni sana hasa ukizingatia tunagombea top 4 na si ubingwa.
  1. suluhu dhidi ya liverpool, ok unaweza kusema liverpool bado ilikuwa ni timu tishio pale anfield
  2. suluhu dhidi ya everton, hii ilikuwa ni suluhu yenye kuzuilika kwa sababu tulikuwa mbele kwa magoli mawili na baadae tukawa mbele tena kwa goli la 3
  3. kufungwa na sheffield
  4. suluhu dhidi ya west bromwich huku tukiendelea kuonyesha udhaifu dhidi ya low blocks setup
  5. suluhu dhidi ya arsenal iliokosa huduma ya saka na aubameyang
  6. tumekuwa tukicheza ovyo second half na hata namba ya ufungaji wa magoli imekuwa ikipungua, rejea mechi ya west bromwich, sheffield baada ya kuwarejeshea goli, everton baada ya kuwafunga goli la 3
utofauti wa points 10 dhidi ya manchester city umetokea hapo na si kwamba walituacha tokea mwanzoni mwa ligi kama ilivyozoeleka misimu iliopita.
wiki 8-10 nyuma manchester city walikuwa wanashika nafasi ya 9 huku wakiwa na mechi 1 mkononi, tafsiri yake ni kwamba walikuwa na form mbovu ya kiuchezaji mpaka wachambuzi wakawa na wasiwasi na pumzi ya guardiola na kikosi chake.

wiki za mbeleni man city wakaongoza wao ligi kwa alama 7 huku wakiwa na mechi moja mkononi (kabla ya kucheza na everton), kwa takribani mechi 7 hadi 10 manchester city wamecheza wakiwa wanakosa huduma ya mshambuliaji, changamoto hii ndio imeibua ubora wa manchester city (tatizo wameligeuza fursa) hatimaye wamekuwa wakibadilisha shapes tofauti za kiuchezaji (mara 3-4-3, 3-3-4) ndani ya uwanja mpaka kuzalisha unbeaten run kwa takribani mechi 21.

mechi nyingi za karibuni tunaziamua kutokana na jinsi adui anavyoamka (angalia jinsi sociedad walivyokuja tofauti dhidi yetu, najua tutasingizia kupata matokeo bora kwa mechi ya kwanza),

atleast ilihitajika liwepo gapes la pointi 4 na si 10 kwa sababu sisi hatujapata tatizo la majeruhi kwa wachezaji wetu muhimu ukilinganisha na man city, leicester city na liverpool.

mwalimu wetu ana muhali (woga wa msimamo dhidi ya wachezaji wazembe)
 
Na tukifika CL kupita hatua ya makundi kwetu imekuwa changamoto pia.
tunatakiwa kwanza tufanyie kazi swala la space oriented, tunashindwa kuwin position dhidi ya timu bora kwa sababu hii ya kujaza ball oriented players hatimaye tunakaribisha presha mara kwa mara.

wachezaji wetu sijui niseme ni wavivu/ hawafundishwi kuomba mipira pindi mchezaji X anapokuwa na mpira, tunapokutana na timu inayojua kulinda positions ndipo tunapoanza kuteseka (hata tukiwapokonya mpira wanaunasa wao tena)

nimemiss uchezaji wa paul scholes, muda wote anatafuta space apewe mpira ili abadilishe mwelekeo wa kiuchezaji

tatizo letu kubwa ni ball position na si ball possession, zipo mechi tunapiga mpaka pasi 500 lakini impact zero
 
It's about time tuanze kushinda hizi big games.

Ole asiingie kiuoga uoga kama tulivyofanya kwenye game zilizopita..Yaani hatujashinda big match hata moja ukiacha ile tuliyoshinda dhidi ya vibonde Liverpool.

Na big players wetu ni muda wa kuwa clinical,serious na wa-turnup sasa kwenye big occassions.

Tuko darajani jumapili.

GGMU.
Ole kushinda big games hutegemeana na drive na attitude ya wachezaji siku hiyo. Pia itategemeana na ability ya Fernandes ku-cope na mchezo husika.

Tactically, Ole cannot win big/important matches.
 
dirisha lijalo
  1. uza fred ikijitokeza team yenye ofa nzuri ya kuanzia paundi millioni 27 / mjadala mzito huu
  2. uza jesse lingard japo kwa paundi millioni 15
  3. antony martial apewe nafasi ya mwisho
  4. mkono wa kwaheri kwa juan mata
  5. ole apunguze mapenzi kwa phil jones,
  6. antonio conte akimuhitaji matic apewe (mzee wa kukusanya vizee)
baada ya makusanyo ya kusadikika
  1. kalvin phillips
  2. miguu ya jack grealish au mchezaji mwenye sifa zake
1614427580564.png
 
View attachment 1713136
Hapo kwa Fred napinga.
 
Fred amenunuliwa £50m..Jamaa hawawezi kumuuza kwa hiyo hela hata iweje,tukiangalia recent perfomance yake..Wise decision ni Matic kutafutiwa replacement ya ukweli..Scot+Fred wanaweza kuendelea kuwa squad player wazuri tu.
 
  1. suluhu dhidi ya liverpool, ok unaweza kusema liverpool bado ilikuwa ni timu tishio pale anfield
  2. suluhu dhidi ya everton, hii ilikuwa ni suluhu yenye kuzuilika kwa sababu tulikuwa mbele kwa magoli mawili na baadae tukawa mbele tena kwa goli la 3
  3. kufungwa na sheffield
  4. suluhu dhidi ya west bromwich huku tukiendelea kuonyesha udhaifu dhidi ya low blocks setup
  5. suluhu dhidi ya arsenal iliokosa huduma ya saka na aubameyang
  6. tumekuwa tukicheza ovyo second half na hata namba ya ufungaji wa magoli imekuwa ikipungua, rejea mechi ya west bromwich, sheffield baada ya kuwarejeshea goli, everton baada ya kuwafunga goli la 3
utofauti wa points 10 dhidi ya manchester city umetokea hapo na si kwamba walituacha tokea mwanzoni mwa ligi kama ilivyozoeleka misimu iliopita.
wiki 8-10 nyuma manchester city walikuwa wanashika nafasi ya 9 huku wakiwa na mechi 1 mkononi, tafsiri yake ni kwamba walikuwa na form mbovu ya kiuchezaji mpaka wachambuzi wakawa na wasiwasi na pumzi ya guardiola na kikosi chake.

wiki za mbeleni man city wakaongoza wao ligi kwa alama 7 huku wakiwa na mechi moja mkononi (kabla ya kucheza na everton), kwa takribani mechi 7 hadi 10 manchester city wamecheza wakiwa wanakosa huduma ya mshambuliaji, changamoto hii ndio imeibua ubora wa manchester city (tatizo wameligeuza fursa) hatimaye wamekuwa wakibadilisha shapes tofauti za kiuchezaji (mara 3-4-3, 3-3-4) ndani ya uwanja mpaka kuzalisha unbeaten run kwa takribani mechi 21.

mechi nyingi za karibuni tunaziamua kutokana na jinsi adui anavyoamka (angalia jinsi sociedad walivyokuja tofauti dhidi yetu, najua tutasingizia kupata matokeo bora kwa mechi ya kwanza),

atleast ilihitajika liwepo gapes la pointi 4 na si 10 kwa sababu sisi hatujapata tatizo la majeruhi kwa wachezaji wetu muhimu ukilinganisha na man city, leicester city na liverpool.

mwalimu wetu ana muhali (woga wa msimamo dhidi ya wachezaji wazembe)
Kwa hoja ya kikosi cha man city na liverpool kuandamwa na magonjwa pamoja na majeruhi ya uwanjani,ulinganifu wa ubora wa vikosi kwa ujumla pamoja na ubora wa wachezaji nafasi moja moja uwanjani,unaona kabisa sisi man united tumekuwa wazembe kutokuchukua hili kombe msimu huu. Na pengine hii nafasi inawezaa isitokee tena hivi karibuni.
Mbaya zaid hata OGS hakuonekana kutambua madhaifu ya wapinzani wake wakuu ili walau wachezaji wacheze kwa hamasa tu kushinda kikombe.
 
Back
Top Bottom