Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Sare leo haina madhara
Startimes,Dstv hawaonyeshi ni channel ipi inaonyesha mechi za Europa leo?
Futuhi huwa ipo startvDstv hawaonyeshi ni channel ipi inaonyesha mechi za Europa leo?

Tusipokuwa makini jamaa wanaweza pindua mezaNatumaini leo tutamwona tena Amad, na Mata uwanjani..
Easy game..
=====
My Starting XI
=====
Henderson
Williams Bailly Maguire Telles
Fred Matic
James Mata Amad
Martial
=====



Picha?Summer inakuja.
Ninavyoona Mimi eneo linalohitaji mtu kwa haraka sana ni DM.
Waliopo kwasasa sioni anaefaa kuongoza dimba la Kati la timu kubwa hii.
Matic, umri umeenda na ameanza kupungukiwa uwezo.
Fred na McT wako limited sana.
Tupate mtu Kama Teun Koopmeiners(Az Alkmaar-Eredivisie)
Pale Kati patulie.
Dogo huyu kwanza ni kiongozi, bei yake haitokuwa kubwa.
Pia anaweza kucheza Kama LCB.
Kingine anakuja kukutana na mdutch mwenzie.
Ongezea CB na ST(itapendeza ukimpata Halaand)- Martial mpeleke kwa mkopo Inter au Barcerlona.
Wakuu mnaionaje Midfield yetu, he inahitaji marekebisho yoyote?
kuwa majeruhi kwa muda mwingj. ndio kinacho muaribiaHuyu mwamba ni nomaView attachment 1712043
Lindelof na Bailly wamecheza pamoja mechi chache lakini ndiyo partnership nzuri zaidi pale United .Tukicheza mech zijazo hivi sosha atahitaj mabadiliko kidogo sana kuipata timu yenye nguvu ya ushindani kwa kweli kazi kafanya
Bailly na lindelof walisimama vizur sana tena sana