Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Daniel James's recent #MUFC form:

appearances
goals
assist★

#GGMU

manutd |
IMG_20210222_210914_032.jpeg
 
★UK Prime Minister Boris Johnson has announced that fans could return to sporting events from May 17. The final weekend of the Premier League, on May 23, could potentially be played in front of a limited number of fans.★

#GGMU
#SkySports

City kashatangaza ubingwa....
 
Radika watu awaoni OGS kaboresha timu wao ni wanasubiri OGS afungwe game moja wajifiche kwenye kivuli cha hakuna kocha umu
Hii comment nilichelewa kuiona.
Unajua binaadam tuna tabia zinazo tofautiana sana, kuna baadhi ya watu wameumbwa kupinga tu, wenyewe wakiamua kupinga jambo wanapinga tu hata kama jambo hilo lina manufaa kwao.

Kuna baadhi ya watu humu wameamua kumkataa tu (kupinga) Sorkskjaer, tena kwa bahati mbaya hata hojazao si za msingi, wenyewe wanapinga tu.

Kuna mwamba moja huyo yeye huonekanaga sana humu siku tukifungwa, comment yake yeye ni "Bado haja fukuzwa?"

Yani yeye tamaa yake ni kuona kilasiku tuna sajili makocha wapya na kuwafukuza, bila kujua kila kocha huja na falsafa yake, hivyo kila siku tutakua tunaanza upya.

Binafs namkubali Sorkskjaer, kinyume na kumkubali, mimi ni mguuni wakuvumilia makocha.

Hata tulipo mtimua Van gar nilikerekwa sana na kuwaambia mashabiki wenzangu kwamba tutakaa muda mrefu bila mafanikio ya maana, na kweli mpaka leo.

Neema imetokea tume mpata kocha (kijana wetu) alie anza kufufua matumaini lakini chaajabu kuna raia zinampinga.

Tubadilikeni wadau mchizi (Sorkskjaer) kaanza kuleta matumaini tumuungeni mkono.
 
Shida tuna malengo gani? Tunashindana na nani ndo tatizo. Mimi upande wangu solkjaer sna tatizo nae game za kawaida hizi. Swala ni kwenye game muhimu anatukwamisha sana kutokana sijui ufinyu wa mbinu au ni uoga au vyote kwa pamoja. These games; vs sevilla yester year, vs chelsea same year(fa cup), vs southampton( league), vs instanbul this year(kwann hatukucapitalize mapema mpaka tujiekee mazingira ya kushindana na psg, vs psg( 2nd game. Hapa lilifanyika kosa moja la ajabu fred alikuwa anacheza rafu sana alionywa sana na pogba yuko nje), vs leipzig( most heartbreaking. Kwann kikosi kile kwa timu tulioipiga 5 O.T) , vs Man City( Carabao) , vs liverpool( with that backline), vs arsenal( no auba no saka no tierney). Solkjaer hana patterns of play nd maan wachezaji wetu kama rashford wanachoka sometimez maan wanatakiwa warun distance kubwa everytime kupenetrate backline. Timu haina improvement kila msimu iko pale pale jpo kasaidia kurudisha mood. Hamotivate wachezaji hana confidence yeye mwenyewe nd maan anaingia msimu wa pili full anasema hagombanii ubingwa wakati mazingira yaliruhusu. Siwez kuja kumsamehe kamwe lbda abebe EPL au uefa kwa kututoa nafasi kwanza kwenye kundi hadi kutofuzu kwa timu kama Leipzig.
 
Hivi nani anayesema huyu jamaa hakuwa natural? Alitaka kumaanisha nini kwa mfano CR7 the beast

Watu wengi wanashindwa kutofautisha kati ya style of play na talent. Messi ni namba kumi anakimbia kama manamba kumi wanavokimbia. Messi ni mfupi hawezi kuwa na movement sawa na ronaldo. Eti Ronaldo hana kipaji watu wanachekeshaga sana wakiongea hyo kauli. Watu wangapi wana ndoto za kuwa best players wa karne wanashindwa na wanawork hard.
 
Huu usajili kwa mm binafsi wala sioni kama una tija, mm namtaka Haaland.
Sas kama tumeanza kuona matunda ya kurudi kwenye kiwango kwa dani james kwann mtu bora mara mbili kuliko james tusipate mabadiliko chanya zaidi. Man U hatuna right winger kuliko forward trust me. Kocha kuna kitu anataka kuimplement kuwe kuna speedy movement na passing interchange ya kutosha kitu ambacho sancho ni mzuri sana. Wanasema ni mchezaji pekee manchester hayupo anaefit mfumo wa manchester kwamaan kwamba uwezo wa kupick a pass katika full speed wakati rashford na martial hawawez mpaka wapunguze speed
 
Shida tuna malengo gani? Tunashindana na nani ndo tatizo. Mimi upande wangu solkjaer sna tatizo nae game za kawaida hizi. Swala ni kwenye game muhimu anatukwamisha sana kutokana sijui ufinyu wa mbinu au ni uoga au vyote kwa pamoja. These games; vs sevilla yester year, vs chelsea same year(fa cup), vs southampton( league), vs instanbul this year(kwann hatukucapitalize mapema mpaka tujiekee mazingira ya kushindana na psg, vs psg( 2nd game. Hapa lilifanyika kosa moja la ajabu fred alikuwa anacheza rafu sana alionywa sana na pogba yuko nje), vs leipzig( most heartbreaking. Kwann kikosi kile kwa timu tulioipiga 5 O.T) , vs Man City( Carabao) , vs liverpool( with that backline), vs arsenal( no auba no saka no tierney). Solkjaer hana patterns of play nd maan wachezaji wetu kama rashford wanachoka sometimez maan wanatakiwa warun distance kubwa everytime kupenetrate backline. Timu haina improvement kila msimu iko pale pale jpo kasaidia kurudisha mood. Hamotivate wachezaji hana confidence yeye mwenyewe nd maan anaingia msimu wa pili full anasema hagombanii ubingwa wakati mazingira yaliruhusu. Siwez kuja kumsamehe kamwe lbda abebe EPL au uefa kwa kututoa nafasi kwanza kwenye kundi hadi kutofuzu kwa timu kama Leipzig.
Umemaliza..

Solution ya tatizo hili inabidi ipatikane..

Kwenye big moments chini ya Solskjaer tumepotea mara kibao..na it's obvious kuwa bila kuturnup kwenye hizi big moments huwezi kushinda chochote.
 
Back
Top Bottom