Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Ball possession hatuna mpinzani
Sio sura ya kioga..huyo ni mtoto 17 yrs oldHuyo Shola ana sura ya uoga kinyama
Kipindi anaingia ni kama anataka kulia
Mbona mkikutana na mwanaumecity mnapoteaga kwenye hizo possession zenu?Ball possession hatuna mpinzani
Sio suala la utotoSio sura ya kioga..huyo ni mtoto 17 yrs old
Hahaha labda sababu ni dakika za mwisho...hakupata mudaNdiyo maana kashindwa kucheza.
Mi nilijua tu huyu dagaa kweli asiruhusu goli kwel
Huyu OLE hatufikishi popote
Radika watu awaoni OGS kaboresha timu wao ni wanasubiri OGS afungwe game moja wajifiche kwenye kivuli cha hakuna kocha umuIla kwa yote kajitahidi sana kuleta umoja kwenye timu miaka mingi sana ilikuwa inshu hakuna kocha ambae angeweza kumudu vurugu za pogba na wakala wake kama sosha
Kila siku nitampa sifa hiyo na uchezaj umekuwa mzur hii timu kufunga goli 5 ilikuwa inshu lakin kwa sasa jambo la kawaida sana watu wanakula hadi 9
Mmoja kati ya mabeki watukuka wa united Paul parker alihoji makosa na majukumu anayopewa maguire. Ametoa assist ya goli la kusawazisha ilitakiwa aupeleke nyuma yeye kautia kati.basic defensive errors again and again and again