Mdau umeiona first touch ya ronaldo pasi kutoka kwa tevez daah mguu utafikiri una sumaku ya kuvuta mpira...Mkuu nme enjoy sn kuwaangalia hawa watu, kweli Man u ilikuwa na quality players mpk raha, one mistake one goal.
Angalia na hawa wazee nao jinsi wanacheza mpira wa kuvutia
Mi ninachojua ndani ya misimu kumi ya pep atabeba epl mara sita au saba izo tatu atatuachia sie....huu ni msimu wa tano tayari anaelekea kuchukua ndoo ya tatu...nakumbuka katikati ya msimu wa 2018/2019 humu ndani kulizuka mjadala mkubwa sana uliojaribu kuangazia au kuonyesha ni upi upande sahihi ambao mashabiki wa manchester united wanapaswa waegemee kwa muda.
kwa nini liverpool awe bingwa: Nilielekeza hoja zangu maeneo yafuatayo
- wengine tulitaka bingwa awe liverpool bila ya kujali historia kubwa ya kiupinzani iliopo
- wengine walitaka bingwa awe manchester city licha ya kwamba hawa pia ni wapinzani wetu (wanaonekana kuwa ni wapinzani dhaifu kihistoria ya mafanikio)
kwa ufupi sikutaka kuwa mtumwa wa historia za wazungu na kwangu niliangalia zaidi nyakati tulizopo, man city nilianza kuwaogopa tokea siku ile waliofanikisha usajili wa robinho kutoka real madrid na baadae yaya toure kutoka barcelona
- squad depth ya liverpool ni dhaifu hivyo basi hawatokuwa na nguvu ya kuleta ushindani kwa misimu miwili hadi mitatu kwa wachezaji walionao, itakuwa ni rahisi kuwaondoa kileleni pindi tutakapokuwa serious kwa soka la ushindani.
- FSG wanafanana na familia ya glazer kimatumizi na uendeshaji wa timu hivyo niliamini liverpool hawatokuwa na jeuri ya kufanya usajili wa nguvu kwa kila msimu ukilinganisha na manchester city
- aina ya wachezaji anaowapenda klopp ni wale wasiotambulikana kwa kiasi kikubwa sana kwenye soka la bara la ulaya(mwenyewe hujificha kwenye hoja ya mfumo), tofauti na guardiola anayevutiwa zaidi na top players waliokwisha tengenezwa huko watokwako.
Siwezi kumuogopa klopp asiyekuwa na uhakika wa bajeti ya usajili huku nikiendelea kumuombea mazuri guardiola mwenye uwezo wa kumsajili athan ake kwa paundi millioni 40.
====================
fuentte, Bello na wadau wengineo niliowasahau bado munaendelea kuwa na msimamo wa kuwaombea mazuri zaidi manchester city kuliko liverpool hii inayosajili mchezaji wa daraja la kwanza?
Ungesema ata floap kama Harvat ungeeleweka.Huyu ata floap tu kama Demaria..man u siyo ya wachezaji kama hawa..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unatishia kujamba wakati unaharisha, ngoja leo niwafumue hao vibonde wenzio ndio ujue hii nafasi utaishia kuisikia tu msimu huu.Kitoabu ndugu yangu ulifanikiwa kuuza simu ili ununue vifaa vya mgodini? Angalia leo usikose kuangalia kipigo kitakatifu kutoka kwa Miamba New Castle.
Kwa wale wa New Castle tujuane mapema kabisa..
Here We Goo
Come on Nu Casto ..kila la kheri..
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Liverpool anatakiwa asubiri miaka mingine 30 ndo abebe tena ubingwa.nakumbuka katikati ya msimu wa 2018/2019 humu ndani kulizuka mjadala mkubwa sana uliojaribu kuangazia au kuonyesha ni upi upande sahihi ambao mashabiki wa manchester united wanapaswa waegemee kwa muda.
kwa nini liverpool awe bingwa: Nilielekeza hoja zangu maeneo yafuatayo
- wengine tulitaka bingwa awe liverpool bila ya kujali historia kubwa ya kiupinzani iliopo
- wengine walitaka bingwa awe manchester city licha ya kwamba hawa pia ni wapinzani wetu (wanaonekana kuwa ni wapinzani dhaifu kihistoria ya mafanikio)
kwa ufupi sikutaka kuwa mtumwa wa historia za wazungu na kwangu niliangalia zaidi nyakati tulizopo, man city nilianza kuwaogopa tokea siku ile waliofanikisha usajili wa robinho kutoka real madrid na baadae yaya toure kutoka barcelona
- squad depth ya liverpool ni dhaifu hivyo basi hawatokuwa na nguvu ya kuleta ushindani kwa misimu miwili hadi mitatu kwa wachezaji walionao, itakuwa ni rahisi kuwaondoa kileleni pindi tutakapokuwa serious kwa soka la ushindani.
- FSG wanafanana na familia ya glazer kimatumizi na uendeshaji wa timu hivyo niliamini liverpool hawatokuwa na jeuri ya kufanya usajili wa nguvu kwa kila msimu ukilinganisha na manchester city
- aina ya wachezaji anaowapenda klopp ni wale wasiotambulikana kwa kiasi kikubwa sana kwenye soka la bara la ulaya(mwenyewe hujificha kwenye hoja ya mfumo), tofauti na guardiola anayevutiwa zaidi na top players waliokwisha tengenezwa huko watokwako.
Siwezi kumuogopa klopp asiyekuwa na uhakika wa bajeti ya usajili huku nikiendelea kumuombea mazuri guardiola mwenye uwezo wa kumsajili athan ake kwa paundi millioni 40.
====================
fuentte, Bello na wadau wengineo niliowasahau bado munaendelea kuwa na msimamo wa kuwaombea mazuri zaidi manchester city kuliko liverpool hii inayosajili mchezaji wa daraja la kwanza?
"UJINGA" WA KUMUANZISHA MARTIAL BADO UNAENDELEA.View attachment 1708576
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Pamoja na kwamba tunamkosoa sana rashford wakuu ila huyu dogo ni star ajae wa timu yetu
Wachezaji wote ni wetu, unataka uniambie akitupia Martial hauta shangilia?TEAM martial ANGALIENI VIZURI KATI YA MCHEZAJI WENU NA JAMES NANI MKALI.