radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Wachezaji wote ni wetu, unataka uniambie akitupia Martial hauta shangilia?
Ngoja tumuone
Wachezaji wote ni wetu, unataka uniambie akitupia Martial hauta shangilia?
Hawezi huyo..huyo ni Lacazet part II.Wachezaji wote ni wetu, unataka uniambie akitupia Martial hauta shangilia?
Magwayaaaa
Hilo ni kosa la defence au Midfield hawafanyi kazi yao sawa sawa ?Huyu kocha ni mpumbavu na hawezi kutupeleka popote na ujinga wake.. Combo ya Lindelof na Maguire ishaprove failure kitambo lakini sijui kwann anang'ang'ana nayo. Useless kabisa
KashachelewaPamoja na kwamba tunamkosoa sana rashford wakuu ila huyu dogo ni star ajae wa timu yetu
Kama kawaida yake...waingereza uwaambii kitu paleMagwayaaaa