Jameeeeeees 2-1TEAM martial ANGALIENI VIZURI KATI YA MCHEZAJI WENU NA JAMES NANI MKALI.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyo Shola ana sura ya uoga kinyamaLeo sosha kanifurahisha shola ndani ya uwanja
Ndiyo maana kashindwa kucheza.Huyo Shola ana sura ya uoga kinyama
Kipindi anaingia ni kama anataka kulia
Rashford vipi? Pamoja na mambo mengine yote, katupa goli na penalt.MOTM: 1. Shaw 2. Matic 3. James
Watachagua wenyewe wa kumpa
Leo kacheza vizuri sana huwa namponda lakini leo kawa vizuriRashford vipi? Pamoja na mambo mengine yote, katupa goli na penalt.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app