Mkuu achana na haya manyumbu ..nimeyauliza je unaweza kuifunga Soton, yanaanza kuleta matokeo ya ajabu ajabu wakati mpira wenyewe ulikuwa wa hovyo hovyo tu..
Nyumbu ni Nyumbu tu hawezi kuwa nyati..
#CFC
Ubingwa gani wewe unafukuzia..? Acha ndoto za alinacha mkuu ..kwanza hiyo nafasi ni za watu na ndo sisi tunakuja hapo ..wee endelea kushangaa shangaa utajikuta huna hata boksa
Chini ya olesendeka usitarajie hata iyo nafasi ya pili maana Muda wowote watabe watapita nayo..