★Mkuu hauonagi uchoyo anao ufanya hizo assist anatoaga siku limempanda embu fikiri dogo Rashid kama kwa sasa Pamoja na Uchoyo anamfuatia anae ongoza kutoa assist je asingekuwa mchoyo nafasi anazitoa unaionaje hiyo mvua ya Magoli pale OT yani hizi 9-0 zingekuwa si zakuongeleka sio kakutetea mala kwa mala haka katoto japo kuna muda kanafanya Mazuri ila ujinga wake hauvumiliki na toka kawe ka Daktari ndio kamekuwa Kapuuzi to the fullest ★
★Mbona bwana Martial tulimsema sana msimu uloisha nikazembe hakajitahidi baadae mwisho wa msimu alijituma akabadilika mpaka tukamsahau na kusahau makosa yake na hakuna mtu alimponda tena wala kumlalamikia japo kuna Free chances alikuwa anakosa ila potea Pote mtu anajituma★
★Yeye hata asifunge Goli haituhusu ila awe anatoa Pass kwa watu wengine uchoyo afu anazunguka na mpira mwisho ananyanganywa inakera mpaka natapika hasira
★Yeye hata asifunge Goli haituhusu ila awe anatoa Pass kwa watu wengine uchoyo afu anazunguka na mpira mwisho ananyanganywa inakera mpaka natapika hasira
Mkuu Marcus Rashford debut match yake ilikuwa February 2016 miezi mitatu baadae Van Gaal akawa alifukuzwa na katika kipindi hicho mechi alizocheza Rashford hazizidi 10.
★Mbona bwana Martial tulimsema sana msimu uloisha nikazembe hakajitahidi baadae mwisho wa msimu alijituma akabadilika mpaka tukamsahau na kusahau makosa yake na hakuna mtu alimponda tena wala kumlalamikia japo kuna Free chances alikuwa anakosa ila potea Pote mtu anajituma★
★Solskjær on team news against Newcastle: "Paul [Pogba] is out, Phil [Jones] is out. I don’t know how Scott [McTominay] is, don’t know how Edinson [Cavani] and Donny [Van de Beek] will be, either. They have a chance I think.".★