Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Alikuwa na umri gani halafu hakuwa striker tegemeo Monaco na Man united.Ndivyo mpira hua hivyo martial katolewa monaco aliwah kuna goli 10 kwenye ligi?
Ni kama tulivyomsajili Amad tu
Alikuwa na umri gani halafu hakuwa striker tegemeo Monaco na Man united.Ndivyo mpira hua hivyo martial katolewa monaco aliwah kuna goli 10 kwenye ligi?
Mkuu hujui kua green wood ni bado mdogo ?Sosha chizi sasa alimchukua cavan wa nn wakat kuna greenwood?
Jamaa alileta mpambano sasa si ungemuwekea huyu hapa....mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva amefunga mabao 19 katika michezo 22 msimu huu.
Goli nyingi ukijumlisha martial , rashford,cavan na greenwood View attachment 1705850
Kakutana na vilaza
Naona unambana kisawasawa mihemko yake...Ndivyo mpira hua hivyo martial katolewa monaco aliwah kuna goli 10 kwenye ligi?
Na beki maguire amaDah, ndugu zangu, kuna wenda wazimu wamenii bia simu yangu juzi, nime geuka wakuazima simu tu.
Jana kutwa mzima nimeshinda nikipagawa hivyo kushindwa kujuika humu ndani, leo kwa ushindi huu nimemuazima mchizi boti flani ili nijumuike na wadau.
Tuko pamoja wadau, mwaka huu atukosi kombe angalau moja.
Chengine nawaomba wadau Sorkskjaer tumkubali atatuvusha.
Pole sana mkuu ila hapo kwenye swala la Ole Endelea kumkubali wewe kama Wewe Samahani lakiniDah, ndugu zangu, kuna wenda wazimu wamenii bia simu yangu juzi, nime geuka wakuazima simu tu.
Jana kutwa mzima nimeshinda nikipagawa hivyo kushindwa kujuika humu ndani, leo kwa ushindi huu nimemuazima mchizi boti flani ili nijumuike na wadau.
Tuko pamoja wadau, mwaka huu atukosi kombe angalau moja.
Chengine nawaomba wadau Sorkskjaer tumkubali atatuvusha.

Beki hata ukikaa wewe, ila msimu huu hatutoki kappa, angalau birika la kahawa ( FA) tutatoka nalo.Na beki maguire ama
Sio mbaya wacha nimkubali, ila nakuhakikishia Sorkskjaer ndie mrithi sahihi wa Babu Ferguson.Pole sana mkuu ila hapo kwenye swala la Ole Endelea kumkubali wewe kama Wewe Samahani lakini![]()
Mkuu si uniunge kwenye dstv now yako nisafirie nyotaMkuu Mimi nina Dstv tu nje ya hapo sipendi kujisumbua na sijui star time au TBC ambazo zimejikiti na channel za kusifia mambo ya kijinga.
Nishasemaga kitambo hapa ..Ole ni racist aliyevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu m'baguzi wa kiwango cha lami.Whats wrong with Rashy?.. Baily is super B, ila Ole kwa ubaguzi wake next game atamchezesha yule m scandinavia mwenzie