Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Dah, ndugu zangu, kuna wenda wazimu wamenii bia simu yangu juzi, nime geuka wakuazima simu tu.

Jana kutwa mzima nimeshinda nikipagawa hivyo kushindwa kujuika humu ndani, leo kwa ushindi huu nimemuazima mchizi boti flani ili nijumuike na wadau.

Tuko pamoja wadau, mwaka huu atukosi kombe angalau moja.

Chengine nawaomba wadau Sorkskjaer tumkubali atatuvusha.
Wewe uibiwe simu ..una simu ya kuibiwa wewe? Wee sema ukweli tu umeuza ili upate sururu ya kuchimba mashimo.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
insta_2512041812676461851.jpg
 
Nishasemaga kitambo hapa ..Ole ni racist aliyevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu m'baguzi wa kiwango cha lami.
Angalia anaenda kuua kipaji cha Dialo kwa sababu ya uracist wake.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unatamani iwe hivyo ila ndio haiwezekani, Mana Bissaka, Rashford, Martial, Fred, Greenwood, na Pogba ni wazungu ndiyo maana Ole anawapenda.
 
Former Manchester United wonderkid Adnan Januzaj - who is still in touch with Fergie - reveals how it turned sour at Old Trafford when Van Gaal didn't show him 'love' and insists Rashford is 'lucky' to have Solskjaer, as he prepares to face his former club
 
Nishasemaga kitambo hapa ..Ole ni racist aliyevaa ngozi ya kondoo kumbe ndani ni mbwa mwitu m'baguzi wa kiwango cha lami.
Angalia anaenda kuua kipaji cha Dialo kwa sababu ya uracist wake.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Ila kwa dialo kocha yupo sahihi sana yule dogo amr mdogo mno kumchezesha dakika 90 ni ngumu
 
Ila bruno

Bruno Fernandes now has 52 goal involvements since making his Manchester United debut.

Only Leo Messi (53) and Robert Lewandowski (67) have more in that time.

World class

View attachment 1706162
Huyo mtu hatari, km tm yetu ingekuwa na consistency ya kushinda na kubeba makombe, basi ballon dor ilikuwa inamhusu huyu mwamba.
 
Back
Top Bottom