Katika hali ya kushangaza ndiyo msimu pekee kufikisha goli hizo.mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva amefunga mabao 19 katika michezo 22 msimu huu.
Goli nyingi ukijumlisha martial , rashford,cavan na greenwood View attachment 1705850
Kwani timu lazima iwe na striker mmoja?Sosha chizi sasa alimchukua cavan wa nn wakat kuna greenwood?
Kwani timu lazima iwe na striker mmoja?
Mkuu usiwachanganye Rashford, Greenwood na Cavani na vitu vya ovyo.mshambuliaji wa Eintracht Frankfurt Andre Silva amefunga mabao 19 katika michezo 22 msimu huu.
Goli nyingi ukijumlisha martial , rashford,cavan na greenwood View attachment 1705850
Katika hali ya kushangaza ndiyo msimu pekee kufikisha goli hizo.
Mkuu usiwachanganye Rashford, Greenwood na Cavani na vitu vya ovyo.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Wanachukuliwa na mwalimu chiziHivi unajua kwa nn wanachukuliwa watu kama wakina igalo au cavan mkuu?