Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mim binafs nilijua title contenders ni

Liverpool na man city

Kitendo cha liverpool kupoteana sioni kabisa mwingine wa kutusogelea city...

Mpaka sasa timu inayonipa hofu ni liverpool tu ,man utd haina madhara kabisa kwenye mbio zetu ...

Man utd huwa sina hofi nayo kabisa

Hata tukiwapa game 4 mshinde mchukue epl bado hamna uwezo sasa hiyo ni timu ...

Epl hiyoo inatua etihad kiulain kabisa

Nawakumbusha tu tulipokuwa ,wakat huu spurs alikuwa anashona suti za kusherekea ubingwa hhaaaaaa...

View attachment 1703088
Ha haa haaa, we jamaa wewe. Timu yangu ilianza vizuri kweli. Tatizo usipokuwa na kikosi kipana majeruhi kidogo tu tatizo. Hapo bado hicho kikosi cha kwanza tu hakina balance. Zetu sisi Europa na Karaghabaho. Kwenye fainali tutawapiga kama tulivyowapiga kwenye fixture mbili zilizoitangulia ile ya juzi.
 
Mkuu umeongea vema sana. Na mfano mwingine ni Foden pale Man city,wakiwa wameshinda hata goli 3-4 na dogo akatoa assist au naye akatupia kambani maongezi yote kwa foden wakati Gundogan ndio anawaweka mjini kwa sasa.
Inakera sana yani.
Huo wa Foden na Gundogan ni mfano mzuri sana. Kwa sasa Gundogan ndiye Messi wa City ila ajabu siku dogo akicheza tu vizuri anakuwa man of the match kwenye vyombo vyao vya habari. Ila siyo ishu maana ndiyo wako hivyo hawawezi kuchange.
 
Jombaa, Julian Nagelsmann yule ni mtu mwenye akili nyingi sana za kiufundi. Ana silaha kubwa sana tunayoikosa kitu ambacho makocha kama Pep Guardiola na Jurgen Klopp wanacho, GAME MANAGEMENT SKILLS.

Umuhimu wa game management skills Everton wasingeweza kupata sare wakati tunaongoza goli mbili bila siku ile. Tusingefungwa na PSG kabla ya Fred kupewa kadi. Ukiangalia vizuri safu yetu ya ufundi ni kama wanabahatisha bahatisha hawajui nini cha kufanya muda mchezo unapoendelea.

Kusema ukweli kama tutaendelea kuamini Ole atakuja kuwa kocha mzuri tunapoteza muda. Kwa sasa ni heri amalize msimu tupate nafasi ya top 4 msimu mpya aje mwalimu mpya pamoja na mkurugenzi wa ufundi.
Mkuu siyo rahisi kwa kocha wa RB Leipzig kuipa mafaniko United. Siyo rahisi kwa kocha yeyote yule mwingine na ndiyo maana Pep hakutaka hata kuifikiria hiyo kazi. Pale Leipzig maintenance ya kikosi ni suala endelevu. Wanapouza mchezaji mara moja wananunua mwingine wa kuziba nafasi.

Tatizo jingine la timu yenu ni kuwa inachukua muda mrefu sana kununua mchezaji. Angalia situation za ununuzi wa Maguire na Bruno kwa mfano. CB alitakiwa tangu 2018 akanunuliwa 2019 wakati tayari kiwango chake kishaathiriwa na sakata la ununuzi wake na kwenye timu pia tatizo lishakuwa kubwa zaidi.

Fernandes (au mchezaji yeyote wa kuziba "pengo" la Pogba) angenunuliwa mapema timu isingepoteza stability.

Sasa makocha wanaocheza mpira wa kasi dk zote 90 kama vile Julian au Klopp wanahitaji kikosi kamili muda wote ili wapate matokeo. Kikosi kikiwa na pengo moja tu timu haipati matokeo. Angalia hata Klopp anavyopata shida akipoteza mchezaji mmoja tu starting XI.

Kocha kama yule akiwa chini ya mmiliki kama Woodwork au Levy ataishusha timu daraja. Bora huyo huyo Ole anayezifahamu fika siasa za Old Traford.
 
Sahihi
footballjoe-photo-2021_02_16_19_24.jpg
 
Van Gaal also has his own complaints about the board, management etc for not signing his targets, not giving him time to deliver and that his squad was playing a much better football than OGS's la bla bla.

but for a experienced and old chap like him, these kinds of complaints from the young guys like this lad it simply mean the guy was disgusting.
 
Mkuu siyo rahisi kwa kocha wa RB Leipzig kuipa mafaniko United. Siyo rahisi kwa kocha yeyote yule mwingine na ndiyo maana Pep hakutaka hata kuifikiria hiyo kazi. Pale Leipzig maintenance ya kikosi ni suala endelevu. Wanapouza mchezaji mara moja wananunua mwingine wa kuziba nafasi.

Tatizo jingine la timu yenu ni kuwa inachukua muda mrefu sana kununua mchezaji. Angalia situation za ununuzi wa Maguire na Bruno kwa mfano. CB alitakiwa tangu 2018 akanunuliwa 2019 wakati tayari kiwango chake kishaathiriwa na sakata la ununuzi wake na kwenye timu pia tatizo lishakuwa kubwa zaidi.

Fernandes (au mchezaji yeyote wa kuziba "pengo" la Pogba) angenunuliwa mapema timu isingepoteza stability.

Sasa makocha wanaocheza mpira wa kasi dk zote 90 kama vile Julian au Klopp wanahitaji kikosi kamili muda wote ili wapate matokeo. Kikosi kikiwa na pengo moja tu timu haipati matokeo. Angalia hata Klopp anavyopata shida akipoteza mchezaji mmoja tu starting XI.

Kocha kama yule akiwa chini ya mmiliki kama Woodwork au Levy ataishusha timu daraja. Bora huyo huyo Ole anayezifahamu fika siasa za Old Traford.
Failures for Buying teams are rampant in England, that is what Man U are trying to avoid under OGS especially because he, himself is not a fan of big buys, that is why he has that Job to date.

Team are built.
 
I think the point is not "big buys". Rather, it's about "getting" a player when required. If you think it's easy to build a team by using academy kids like Greenwood to solve the right winger problem at United, then there is a big problem.

Kindly refer the Sacho problem at City. Refer the Hudson Odoi problem at Chelsea. And finally think about Angel Gomez, Tahith Chong, Axel Tuanzebe, Pereira and that kid Ole thought would solve the Luke Show problem, I forgot his name.
 
Ole on Real Sociedad: "It's probably the hardest tie you could pick from our unseeded group.

"They have young and experienced players with lots of quality. We'll need to be at our best."

Solskjær: "They’re [Amad & Shoretire] in the travelling squad. Not just for experience, they’re there to make an impact if they have to. The two boys have done well in training and they are talents that we want to give experience to."

Ole said, Pogba is 'recovering' but won't play again in February. Could make his comeback in the derby weekend of March 6.

Solskjær says Edinson Cavani and Donny van de Beek will "definitely" not be travelling to Turin to face Real Sociedad★

#GGMU

manutd |
IMG_20210217_222055_751.jpeg
View attachment 1704989
IMG_20210217_222114_377.jpeg
 
Back
Top Bottom