Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Watoto wadogo wanatudhuru kweli.
Sijui tatizo ni nini?

Mkuu nilishakuambia kwa sasa hunauwezo wa kuchukua point 3 kwa timu yoyote ukijitahidi ni sare labda timu pinzani wacheze pungufu kama southampton.

Raundi ya kwanza mlikuwa mnashinda kwa bahati tu,sasa mnajiona mnastaili kushinda.bila kusahau mechi ijayo sare tena au mnafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…