radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,290
Hehehe data za Villa kutotumia pesa umeokota kijiwe cha wapi?
Kijiwe cha arsenal
Hehehe data za Villa kutotumia pesa umeokota kijiwe cha wapi?
Na ukaamini? Hauoni kama akili yako ni ya kushikiwa?Kijiwe cha arsenal
Na ukaamini? Hauoni kama akili yako ni ya kushikiwa?
Kuna ubaya mimi kujua kijiwe cha Arsenal kina msukule wa kumlisha matango pori?We unapata hasara gani sasa hapo kwa mfano? Yaani vinakuhusu nini ktk maisha yako?
Kuna ubaya mimi kujua kijiwe cha Arsenal kina msukule wa kumlisha matango pori?
Aliyeanza kumquote mwenzake ndiye ana kiherehere hapaKuna mahali umeulizwa au umeshikirishwa kujua? Nani kakutuma au kiherehere chako ndicho kinakuongoza na mihemko yako
Kipa wa Liver kavuta mpunga ?.
Aliyeanza kumquote mwenzake ndiye ana kiherehere hapa
Jamani eeehh city bingwa
Poa msukule wa kijiwe cha ArsenalAliekuuliza hiyo post yako nani? Ukijileta hapa kichwa kichwa huwez kuachwa
Poa msukule wa kijiwe cha Arsenal
Mtoto anacheza kwa hesabu sana yule..Pure talent.FODEN Ni Bora Sana kuliko RASHFORD