Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii liverpool wakulaumiwa ni kocha walipokuwa juu klopp hakuendelea kutafuta wachezaj wakubwa akarudi kule alipowatoa wakina salah na robertson walitakiwa kuendelea mbele habar za wachezaj wa £2 ndio wanawazamisha sasa sir alex hakuacha kununua wachezaj wakomavu hata kama wakina welbeck walichukuliwa toka kwenye academy ndio siri ya manchester united kutawala soka la england kwa muda mrefuView attachment 1697025
Angalia kama hapo huo ni mfano tu bado tevez, rooney
Pep anatembea mule mule alipotembea babu fergie....
Jamaa namtabiria miaka kumi mbele ya kutawala tu tena ipo siku atachukua ubingwa wa epl mara tatu...
 
Unafikir mm mtoto mwenzio kwamba ukitumia lugha kama hizo ntaingia huko kwenye huo ujinga na upuuzi we dogo hapa umefulia hizo kauli zilikuwa zikitolewa na washamba wa jf miaka ya 2014 huko now days wajinga ndio wanaendeleza hizo ligi za lugha za hovyo hapa unakimbizwa mdogomdogo kadri unavyopanic ndipo unafunua ubongo wako wa ujinga
Unacite info za uongo unataka uitweje?
 
Unacite info za uongo unataka uitweje?

Na ndio maana nimekwambia huo utoto wako hapa huwez kunipeleka huko mlikozea kutuma post za matusi

Sasa kama za uongo we zinakuuma nini? Wewe ni mmiliki wa arsenal? Au ww mwanzilishi wa arsenal yaani unakaa unatuma matusi kwa kitu ambacho ww huna hata shea kichwani zipo ww? Moyes na nyie nani kasajili? Huo ni uongo mnasoma kwa kukurupuka aston villa kakukata gepu ulitaka nikufafanulie hivyo?
 
Mkuu mozila firefox ,kwa kweli sikuwaza kama hata top 4 tungeingia endapo wapinzani wetu wangekuwa kwenye kiwango chao bora kabisa na bila majeruhi ya mara kwa mara kwenye vikosi vyao vya kwanza.
Lakini cha kushangaza msimu huu united chini ya ole ndio timu ambayo tunaona kama iko kwenye form nzuri na tukapata bahati ya kupitiwa mbali na majeruhi kwa key players wetu. Nami nikuulize swali dogo,OLe anakosa kipi kwa msimu huu kuwa title contender?
Tusitegemee liverpool,city,chelsea chini ya tuchel msimu ujao watakuwa na bahati mbaya kama msimu huu wakati sisi bado tunasubiri rashford akiitafuta form yake.
OGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuu

Unajua usajiri wa mchezaji sahihi mmoja tu unaweza badilisha timu nzima like Bruno
 
Na ndio maana nimekwambia huo utoto wako hapa huwez kunipeleka huko mlikozea kutuma post za matusi

Sasa kama za uongo we zinakuuma nini? Wewe ni mmiliki wa arsenal? Au ww mwanzilishi wa arsenal yaani unakaa unatuma matusi kwa kitu ambacho ww huna hata shea kichwani zipo ww? Moyes na nyie nani kasajili? Huo ni uongo mnasoma kwa kukurupuka aston villa kakukata gepu ulitaka nikufafanulie hivyo?
Hua siandiki matusi. Uliiachagua hii ruti mzee.
 
OGS ntamuhukumu next season, hiki kikosi chake kinaitaji wachezaji kama watatu au wanne tu ili tuwe title contender mkuu

Unajua usajiri wa mchezaji sahihi mmoja tu unaweza badilisha timu nzima like Bruno
Nimekuelewa mkuu,ngoja tuendelee kumuombea njaa Liverpool kwa sasa wakati tunafanya rebuild kwanza
 
Mbona mimi nimeweza kulinda ushindi,
Hatuna kocha kabisa wakuu
Screenshot_2021-02-07-13-01-38.jpg
 
kwa mechi tulizo nazo man u mpaka tuje kutana na big match ambayo ni chelsea
sioni wakutusimamisha labda tuamue wenyewe kujisimamishaaa
Kwani nyie basi mnagame ambayo mnauhakika na 3 point

huwa inategemea tu bruno kaamka vip

Keshen mkiomba tu ....!
 
kwa mechi tulizo nazo man u mpaka tuje kutana na big match ambayo ni chelsea
sioni wakutusimamisha labda tuamue wenyewe kujisimamishaaa
Sheffield katufunga,tumepoteza point kizembe dhidi ya Everton,Arsenal tumeshindwa kumfunga..

Hatuna consistency..tusijipe moyo kuna uwezekano wa kuendelea kudondosha points day by day
 
Back
Top Bottom