Manchester United (Red Devils) | Special Thread

SAFII, MARTIAL OUUUUT
Screenshot_20210206-221137_All%20Goals.jpg
 
Nchi za ki Africa nuks kweli.
Huwezi amini hii game leo nitashindwa kuiangalia sababu ya Corona!

Wenye serkali yao (mapolisi) wame chachamaa huko nje, ni full virungu.

Baada ya kuisha game ya Arsenal jamaa wamevamia kibanda umiza na kuanza kutembeza virungu, huku wakisiaitiza watu wavae barakoa.

Hii game nitaifutilia hapa hapa JF.
 
★Hicho kichapo kimekukuta ukiwa wapi Ndugu???

Angalia kwenye simu mkuu, install app inaitwa live football au burma tv, hz apa chini, zinapatikana play store, mm mwenyewe leo naangalia kwenye simu
Screenshot_20210206-224055.jpg
Screenshot_20210206-224144.jpg
 
Back
Top Bottom