Singasinga
JF-Expert Member
- Aug 27, 2011
- 2,741
- 3,315
Hii fred kutoanza haiwezi tupoteza kwenye kiungo kweli maana pogba dah
Live football tv euro hii app iko playstoreWakuu Leo Sina access na TV kabisa
Naomba app itakayoonesha mechi yetu au website ambayo haina magumashi
#GGMU
Wakuu Leo Sina access na TV kabisa
Naomba app itakayoonesha mechi yetu au website ambayo haina magumashi
#GGMU
Kwn anachezaga kiungo cha wapi?
Hesgoal.comWakuu Leo Sina access na TV kabisa
Naomba app itakayoonesha mechi yetu au website ambayo haina magumashi
#GGMU
Nilitaka kumaanisha kwenye Mido ya (Mc Fred), Fred ndio huwa anashughurika na( ni mzuri) ulinzi zaidi kuliko Mct.Kwn anachezaga kiungo cha wapi?
Fred kam Maguire na Bruno hatakiwi kupumzika mkuuHatakiwi kupumzika?
Acha ushamba wewe ina maana hujui kwamba unaweza icheki kwenye cm au shida yako tujue uko nje ya nchi
Tulia mdada