Hivi Bruno na salah wanacheza position sawa?
Kusajili world class players ndo waligoma kabisa [emoji3][emoji3]Washika manati wanasema msimu huu hawataki ubingwa wala top 4 hawana mpango nayo, wenyewe wanatengeneza timu tu.
Kwahiyo tuwaache watengeneze timu tu, wakiwa tayari watatuambia.
Dortmund niliwashangaa sana kupandisha bei ya Sancho mpaka kupelekea Man utd kushindwa, watakuja muuza 20pounds
We are used to it.Most viewed JF sports thread
Don't forget we are U-N-I-T-E-DMost viewed JF sports thread
Wapuuzi wale walishindwa kusoma alama za nyakati wakadhani mchezaji ni sancho pekeakeDortmund niliwashangaa sana kupandisha bei ya Sancho mpaka kupelekea Man utd kushindwa, watakuja muuza 20pounds
Uzi wa mikeka ndo unaongoza.Most viewed JF sports thread
Ulifutwa huna habariUzi wa mikeka ndo unaongoza.
James alivyofunga Goli la 9 mctominay hakushangilia akawa anamwambia James achukue mpira fasta kwenye nyavu watafute la 10.Uyu mwamba uyu mbishi sn [emoji3][emoji3]
Upo, umetolewa kwenye sticky Ila upo bado jukwaa la michezo.Ulifutwa huna habari
Umesharudishwa.Ulifutwa huna habari
Nimeuona ila hiyo betting nayo ni michezo au kamariUpo, umetolewa kwenye sticky Ila upo bado jukwaa la michezo.
[emoji848][emoji848]Yule bila penat ni kama molinga tu mkuu
Swafi sana maana City anafikiri atakuwa bingwa kwa idadi ya mabao safari ataona cha mtema kuniJames alivyofunga Goli la 9 mctominay hakushangilia akawa anamwambia James achukue mpira fasta kwenye nyavu watafute la 10.
View attachment 1693566
Big point wanataka kuushushia hadhi uzi wetu