[emoji23][emoji23][emoji23] eti bila aibuNa Bruno bila aibu kafunga [emoji23][emoji23][emoji23]
Beki wa mwisho yule lazima upewe umemeDuh asee ila Red card ya pili hadi nimeshangaa me shabiki wa man u
Ila leo tumebebwaa aisee mpaka aibu
Wamesha lala mda mrefu.Kwenye threads za majirani kutakuwa na kununiana sana.