barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,405
- 29,809
Sosha anawajulia, mkianza lalamika anawaletea matokeo mazuri mnasahau...Mimi huu mjadala ninao moyoni mpaka leo ila humu ndani nimeupumzisha tu....
Juzi juzi tu niliuliza hapa anaejua sosha anatupeleka wapi aniambie maana mimi sielewi hata.....
Mdau moyo ushakua wa baridi huu hata alete matokeo mazuri ya namna gani mi nitayaona ya kawaida tu wala sishtuki.....Sosha anawajulia, mkianza lalamika anawaletea matokeo mazuri mnasahau...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Acha kuongea maujingaBaada ya matokeo ndiyo unajitutumua ungeyasema haya kabla ya mechi. Tatizo la jana ni hakuanza na Cavani angeanza naye tungeshinda
Asubhi tuUtaumia zaidi Jumamosi
Bakayo Saka anaimaliza mechi mapema sana
Sawa Carrick mshauri OGS amekusikiaTuanzebe + De Gea...aisee..We were awful but that piece of defending leading to the second Sheffield goal was something else. You don't see that kind of recklessness and idiocy in way lower leagues. Unbelievable.
Martial inabidi auzwe..Yes,piga bei..mpuuzi kabisa.
Rashford is either brilliant or woeful.
Tuanzebe ni new Phil Jones.
Hatuwezi kubeba ligi kama hatuwezi kubreak timu kama Sheffield United.
Underdog kama man u Game 13Kati ya misimu ambayo Bookies wamepata hela, huu utaongoza kwa kiasi kikubwa sana.
Msimu huu umekuwa wa underdogs kushinda mara nyingi sana, au kutoa sare.
Na kuchanika kwa tako je?Sina wa kumlaumu ndio soccer.
Kuchanika kwa jamvi sio mwisho wa maongezi.
Hukona magwaya kwamba alimkaba degeaPasi aliyompigia mchezaji wa Sheffield je?..De Gea jana kazingua big time
Bababake na mama ake wameachanaJmoss mkija Emirates (getto) mje na mafuta
Partey kiboko ya pogba, Bruno, matic, Fred and the like
Lingard yupo wapi na anafanya nini??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata Daniel James alikuja ivi ivi
Chuma hicho kinakuja Central defender our weakest link
Moja tu mwanangu linatutoshaSemeni wenyewe arsenal awapige bao ngapi??
Moja lilelile kama nguruwe au bao za farasi, 3
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Moja tu mwanangu linatutosha
Kiwango chake kiko chini sana hakuna ubaguzi hapo. Hana stats nzuri zaidi ya yellow, poor timing, no tackle, no assist, no goal hivi stats wazijua weweBaada ya kufungwa na Sheffield mashabiki wa united wanamsakama na kumtukana Tuanzebe wakimlaumu kwa matokeo.
Matusi yamebase kwenye ubaguzi wa rangi. Funny thing ni kwamba ana stats nzuri kuliko Martial, Rashford, Greenwood na Bisaka.
Kwanini halaumiwi Maguire aliyekua anamkaba De Gea?