OLE OUT, martial OUT, TUANZEBE OUT, RASHFORD AANZIAGE NJE, GREENWOOD ACHEZAGE FA au timu ikiwa inaongoza 5, Matic mzee aende, cavani sub player, degea akatafute changamoto kwingine
Hahahaha kweli nyie matakataka..unaombea man city apigwe?? Mimi nilitaka nyie mubebe ligi ila saiv nawakataa..
Man City msimu huu anaweza kubeba kama sisi tukikosa
Tunakumbushana:
huu ni msimu wa 6 tokea tumsajili Anthony martial, kila member na uoni wake ila kiupande wangu mimi sijayaona mabadiliko ya kutisha kutoka kwake kiasi ambacho niendelee kumuamini kwa miaka mengine 6 au zaidi.
Nafahamu unapokuja mjadala wa martial na rashford huwa ni mgumu sana humu ndani kwa sababu ya takwimu zao ambazo hutuonyesha ukuaji hewa, hivyo basi nategemea kupokea changamoto hiyo kutoka kwa wadau wengine hususani kaka yangu chief mkwawa.
Chukizo la martial ni consistency ya kiuchezaji na ufungaji.
Kilichobaki ni kwenda kumuomba radhi Jose mourinho, jose alikuwa sahihi kwa kila alichomtendea Tony martial