Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hahahaha kweli nyie matakataka..unaombea man city apigwe?? Mimi nilitaka nyie mubebe ligi ila saiv nawakataa..
Man City msimu huu anaweza kubeba kama sisi tukikosa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kuna taarifa kwamba SHIEFIELD UTD wanaweza kuwakosa wachezaji wao karibu 9 kwny mechi ya leo

Tunaweka full mkoko tunamaliza mechi kipindi cha kwanza then tunapumzisha wachezaji wetu kwa ajili ya arsenal
Fulu mkoko au fulu ukoko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unadhani ni rede nin
 
Timu ipo huko mtaa wa bottom line alafu inakuja kushinda OT. kweli OT yetu tumekua shamba la bibi.

Sasa kama bottom team inatufunga nyumbani, nadhan stori za ubingwa tuziache kwanza. Mana vitoto kama hivi city huwa anavishushia kichapo heavy
Pole sana mkuu. Naona umeumia sana nafsi
 
Kitoabu keshaenda kujichimbia mashimoni huko ..tena jumamosi yuko arsenal..unaweza usimuone hadi kati kati ya mweiz wa pili huko[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…