Nyie jamaa mmeongea sana baada ya kubahatisha kukaa kileleni.
Sasa ni wazi hamtakuja kurudi tena nafasi ya kwanza maana mechi ijayo mnanyolewa na Asanali.
Washabiki wa man u walikua washaanza kupiga kelele mtaani,kelele zilikua nyingi sana baada ya kukaa hapo juu siku mbili,tayari walikua wanajiita mabingwa sasa naona kumepoa.
😂😂😂😂😂raha sana