Wild sniper
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 4,426
- 8,733
Telles kapoa sana bissaka ndo anapandisha timu peke yake kule juu anatakiwa shaw mapema sana akimbizane na kina Martial. Sio kila siku ni sikukuu au tutapata nafasi ya kufanya comeback huu mchezo wa kutanguliwa uishe sasa nyambafu.