Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Mfano Chelshit na Arsenane

#GGMU

manutd |
255621924199_status_97ae30be25764f448bbf98114641326c.jpeg
 
Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
Huna macho

Kuwa man utd fans huna uwezo wa kuona ,ngonja nikuache
 
Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
Nyie manyumbu tunawatamani sis man city kudaddddek tukutane ,!

Uzuri mkifunga mnakuja kuvimba ,mlivopigwa 2-0 mlitulia kama bikra aliyepasuliwa malinda
 
Hizi devil zikishinda ni matatizo

Burnley kashinda anfield kaona kawaida ,sipati picha hizi nyumbu zingevunja unbeaten run ya anfield

But united ni team ya kawaida sana ,haichezi kibingwa,bado sanaa

Round ya Pili inakuja
 
Nyie manyumbu tunawatamani sis man city kudaddddek tukutane ,!

Uzuri mkifunga mnakuja kuvimba ,mlivopigwa 2-0 mlitulia kama bikra aliyepasuliwa malinda

Sasa manchester united na carabao wap na wapi na ww yale ndio makombe ya pep makombe ya ulaya hawez kubeba bila mess soma ubao hapo juu

Mngetufunga kwenye ligi tungeona pep kajitahidi tunakuja kuwapigia hapo hapo empty had kama mwaka jana tumepiga nje ndani
 
Back
Top Bottom