Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Great team performance

Ole na wachezaji

Special mention:

Mc Tominay, sikujua kama pia ni dribbler mzuri (that energy ) , Pogba very improved performance defensively +offensively, Cavani , Bruno is Bruno Magnifico only behind CR7 in the world currently

Hofu yangu ni semi final curse... Sijui kama tutaivunja
Hata Mimi nimejua Leo dribbling ya Mc ni supper.
 
Man utd nimeamin kuwa ni empty headed

Upo top point 40

Anayekufata anapoint 38 na game mkononi ,bado wengine difference in point zinazidiana kwa 1na 2

Mbaya zaidi anajipambanua ni bingwa

Hana consistency nzur ya kumantain win

Ukikaa chini ukatafakali man utd anajivunia nini ,unabaki mdomo wazi

Rashford
Martial
Magwaya
Bruno
Pogba

Ndio wanategemea wawape EPL

Unabaki unashangaa tu ,hawa viumbe wako na akili kwa kichwa kweli

Aisee

Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
 
Rashford Cavani Greenwood

That the way to go..

Akizingua yeyote hapo Martial anachukua nafasi ili kumkumbusha kuwa huna namba ya kudumu hapa mazafanta..na yeye akizingua anakaa pia kwenye mkeka..hii itasaidia tuwe serious kidogo kule mbele.

Nategemea Sheffield atapokea kipigo cha mbwa koko jumatano,then tuende tukawabamize london babies(Arsenal) jumamosi.

Not bad Ole,unajitahidi

GGMU
 
Daaah
 

Attachments

  • 20210124_114625.jpg
    20210124_114625.jpg
    67.8 KB · Views: 6
Toka nimejiunga jf sijawah kuona jukwaa la manchester city hivi lipo kweli? Wewe utakuwa kashabiki ka arsenal unajifichia manchester city
manchester city na chelsea hapa bongo walikuwa hamna washabiki wengi ni wahamiaji walitoka liver,arsenal...
 
Back
Top Bottom