Nimesikia tu vamossssss[emoji2956][emoji2956][emoji2956]Bruno alikua anawatamani sana hawa kuku.[emoji23][emoji23]
Ndio bi mkubwaNyie wapuuzi ndio gari limewaka au???
Kakimbia jukwaa[emoji23][emoji23]Nataka nione leo atasemaje
Lindelof kimeoBeki za Man U leo[emoji2959][emoji2959]
Paka faulo ndo mshinde? Hamna timu..Faulo hii unaweza ombea mkopo Bank
Angalia huyu takataka..Na hayataonekana humu wiki nzima hii, hawa viande ilikuwa tumalizane nao toka wiki iliyopita, hakuna timu ya kutuzuia msimu huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Na hayataonekana humu wiki nzima hii, hawa viande ilikuwa tumalizane nao toka wiki iliyopita, hakuna timu ya kutuzuia msimu huu [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Abebe epl kwanza[emoji23][emoji23][emoji23]Natafuta comment ya shabiki mwenzangu inayo mpa sifa kocha wetu, lakini mpaka sasa sijaiona.
Inamaana mpaka sasa hajakubalika tu?
Hongereni Man U kwa kushinda kwa mbinde kwenu kombe la Mbuzi.
Majogoo yatatetea ubingwa wao EPL
kalale wewe huna pointPaka faulo ndo mshinde? Hamna timu..