Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunashinda leo hakuna chenga hapo
IMG_20210124_131601_436.jpg
 
George Best kacheza wakati sisi tunatoka kupata uhuru??!! Sikujua hilo.. ila mpira siye wakongwe kitambo sana, sasa nyie vijana mlioletwa man u na cr7 hamwezi kuijua vizur hili li dubwana manure.
#CFC
George best amecheza na akina boby Charlton na Denis law..Steve James.nk

Miaka.hyo ya 1963- 1974 akaondoka man u..
 
Usifikili klop yeye ni kilaza namna hio aendelee kupata hayo matokeo

Liverpool bado ni teami tushio kwenye kugombania ubingwa ,kwa wanaoona wameshamaliza basi wanamatatizo
Waache wajisahau. Wanafikiri point 6 no nyingi sana wakati Man City akishinda mechi yake moja tu anakuwa wa kwanza
 
Man utd nimeamin kuwa ni empty headed

Upo top point 40

Anayekufata anapoint 38 na game mkononi ,bado wengine difference in point zinazidiana kwa 1na 2

Mbaya zaidi anajipambanua ni bingwa

Hana consistency nzur ya kumantain win

Ukikaa chini ukatafakali man utd anajivunia nini ,unabaki mdomo wazi

Rashford
Martial
Magwaya
Bruno
Pogba

Ndio wanategemea wawape EPL

Unabaki unashangaa tu ,hawa viumbe wako na akili kwa kichwa kweli

Aisee
 
Sawa, kwahiyo sisi tukusaidie nini mkuu?
 
Eti hana consistency nzuri?..naongozaje ligi bila consistency..mara ya mwisho United kufungwa ni lini kwenye ligi?

Man city ni watoto tu kwetu na wana safari kubwa kufanya ambayo tumeyafanya kwa miaka mingi..

So,kaa kwa kutulia,usiletelete porojo za kitoto kwenye huu uzi.
 
Man utd nimeamin kuwa ni empty headed

Upo top point 40

Anayekufata anapoint 38 na game mkononi ,bado wengine difference in point zinazidiana kwa 1na 2

Mbaya zaidi anajipambanua ni bingwa

Hana consistency nzur ya kumantain win

Ukikaa chini ukatafakali man utd anajivunia nini ,unabaki mdomo wazi

Rashford
Martial
Magwaya
Bruno
Pogba

Ndio wanategemea wawape EPL

Unabaki unashangaa tu ,hawa viumbe wako na akili kwa kichwa kweli

Aisee
Unaumia sana United kukaa TOP EPL..

Poa... sema tumjadili Burnley kuhusu nini?
 
Back
Top Bottom