Manchester United (Red Devils) | Special Thread

20210124_190916.jpg
 
Kitoabu nilisema mtafungwa kwakua liva ataanzisha first 11 kama alivyowafanyia Villa. Kumbe Ole kaona isiwe tabu na yeye kaweka mziki wa cd 700.

Misimu 2 nyuma Liva alikua harisk kuumiza wachezaji kwakua alikua analenga ligi au ucl safari hii anauwasha moto kwenye makombe aliyokua anayadharau. Kama Ole kaanzisha hiki kikosi katika kombe hili hii inamaanisha bado hana kipaumbele so analenga kila anachokiona hoping kimojawapo atakipata.
 
Waache wajisahau. Wanafikiri point 6 no nyingi sana wakati Man City akishinda mechi yake moja tu anakuwa wa kwanza
Km unaona donge vile ila thats nature of footbal. Tunajua wote hayo. Bahati mbaya raha ya mpira ni pale goli linapofungwa, ni pale unaposhinda mechi, ni pale unapokuwa juu ya wengine, ni pale unapobeba ndoo.

Mpira usingekuwa na maana na isingekuwa ni biashara kubwa duniani km fans wangekaa wakisubiri timu zao zibebe makombe ndiyo washangilie au wafurahi. It is our time, ukipanda juu it is yours.

So relax, usitoe ngita, unazalisha sumu bure mwilini mwako
 
Kitoabu nilisema mtafungwa kwakua liva ataanzisha first 11 kama alivyowafanyia Villa. Kumbe Ole kaona isiwe tabu na yeye kaweka mziki wa cd 700.

Misimu 2 nyuma Liva alikua harisk kuumiza wachezaji kwakua alikua analenga ligi au ucl safari hii anauwasha moto kwenye makombe aliyokua anayadharau. Kama Ole kaanzisha hiki kikosi katika kombe hili hii inamaanisha bado hana kipaumbele so analenga kila anachokiona hoping kimojawapo atakipata.
Kila timu inatakiwa ijiweke sehemu nzur katika mashindano yoyote mpaka mda huu hakuna mwenye uhakika wa ubingwa wa Epl, Fa, Ucl
Kipaumbele cha Timu yoyote kwa sasa ni USHINDI tu...
Arsenal vumilieni kuona vile msivyovipenda kutoka kwa Manchester United
 
Mi sipendi mkifungwa. Wifi yenu ni united hua sipendi anune. Ila muangalieni Klop anaweza kua kaingia na bastola huyo
 
Kitoabu nilisema mtafungwa kwakua liva ataanzisha first 11 kama alivyowafanyia Villa. Kumbe Ole kaona isiwe tabu na yeye kaweka mziki wa cd 700.

Misimu 2 nyuma Liva alikua harisk kuumiza wachezaji kwakua alikua analenga ligi au ucl safari hii anauwasha moto kwenye makombe aliyokua anayadharau. Kama Ole kaanzisha hiki kikosi katika kombe hili hii inamaanisha bado hana kipaumbele so analenga kila anachokiona hoping kimojawapo atakipata.
Ila me nikuambia kua game vs Liverpool ni game ya kulinda heshima.
Niliamini lazima Sorskjaer na yeye ataweka mziki CD 700..... ili kutunza ile heshima ya kutofungwa na Liverpool.

Hapo sasa atakae fungwa asisingizie kikosi.
 
Ndiyo nayaona hapa. Pasuaneni tu.
 
Back
Top Bottom