Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie ndio mashabiki wa Martial...Greenwood mpaka dakika ya 9 alikuwa amepiga mashuti matatu ya nguvu golini. Hili la nne ndio goli. MARTIAL wako dakika 90 hapigi hata shuti moja.

We kama adui yako martial unataka na mm nimchukie?
 
1st goal. Greenwood
1611509916928.gif
 
Ebwana mmedominate game. Arsenal wenzangu mnaona hiki kinabo kinatishia kuimprove?


Mkuu nakukubali asee.

Tatizo utakuta gemu kama yenu kocha anawaogopa na kutafuta sare tu.

Hapo ndo shida
 
Back
Top Bottom