Greenwood simuelewi kabisa
Dogo hajisomiKazi kweli kweli hawa wakina greenwood
Nikiwa Korogwe. Hili goli umeliona ukiwa wapi boss?Unaumia roho ukiwa wapi
KafungaaaaaaaKuna watu wanamtetea sana
Nyie ndio mashabiki wa Martial...Greenwood mpaka dakika ya 9 alikuwa amepiga mashuti matatu ya nguvu golini. Hili la nne ndio goli. MARTIAL wako dakika 90 hapigi hata shuti moja.Kazi kweli kweli hawa wakina greenwood
Eheee..endelea kuongea.Greenwood mchoyo sanaa wa pasi za mwisho kengee huyuu
Nikiwa hapa Tanga jijiNikiwa Korogwe. Hili goli umeliona ukiwa wapi boss?
Kafungaaaaaaa