UCHAMBUZI YAKINIFU[emoji119]
🤏 Zama hizi ulikiwa ukikutana na beki hii ulikuwa una struggle mno ni partinership ambayo ilifanya kazi aswa sehemu ya mafanikio ya fergason
🤏 lakini sasa united ya leo uwiano wao wa kuruhusu magoal unatia shaka licha ya kufanya investment kubwa eneo hilo miaka tofauti
🤏 watu kama kina blind,maguire,bailly,lindelof,bissaka na kadhalika combined ni zaidi ya £ 150 m
🤏 lakini sasa msimu huu licha kufunga goal 35 ila team imeconcede goal 25 hizi ni goal nyingi wameruhusu kuliko team zote ambazo zipo nafasi ya 2 adi 11
🤏 je ni kwamba united kwasasa inakosea kwenye recruitments
🤏 au united inasajili wachezaji wa kawaida sana mpaka sasa best defensive record epl inashikiliwa na city
🤏 je city wana beki bora kuliko united recently je hawa kina maguire hawana sprit kubwa kiuchezaji sawa na kina rio na vidic
🤏 afu utakuta united mnaponda beki team pinzani kweli united imeruhusu goal nyingi kuliko liverpool ,chelsea,arsenal,man city,leicester etc
🤏 narudia tena united inahitaji mabadiliko kiulinzi kuliko hao wengine wanaopondwa ukibisha basi ni asili yako[emoji3578]
View attachment 1684829