Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal khabari zenu tunazo hata mkikaa kimya

Southampton 1-0 Arsenal

PSX_20210123_181734.jpg
 
Kwanini mkuu?
talented, no game time ! Ningetaman hata aende somewhere kwa loan, lakn hii Ni timu kubwa , depth Ni muhimu ! Ni backup nzuri ya Bruno ama pogba endapo mmoja wapo ataumia au akapata covid,,!!! Timu nzuri inayogombania makombe lazma iwe na depth ,,, hukumbuki enzi utd benchi unamkuta mtu Kama Cole, ? Tedy ? Ama OGS ?
 
Kwanini mkuu?
Amna,anatia tu huruma camera zikimwonyesha akiwa benchi..

Wengi wanapenda Donny apewe game time kidogo..mimi hajani-impress sana kwenye game alizopewa nafasi lakini kwa sababu ni mazingira mapya na kila mchezaji kuna namna tofauti ya kuadapt basi ni vizuri tuendelea kumpa muda.

Forums kubwa za United watu wanataka mfano kesho BF apumzishwe VdB acheze nafasi yake..wengi sana wapo concerned na development ya VdB ndani ya OT
 
Mkuu hii man u tunaijua vizuri ni sisi ma fans wakongwe, ninyi vijana wa juzi hamwezi kabisa kuifahamu hii manjesta. .msimu wa jana miezi kama hii mulikuwa moto balaa ..lakini kwenye msimamo tulipishana point moja tu.
#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]

ukongwe wa mtu unaweza kuangaliwa on how he talks and acts..u definitely a 2000s kid

Kama una 30+ bac una delayed milestone.
 
Amna,anatia tu huruma camera zikimwonyesha akiwa benchi..

Wengi wanapenda Donny apewe game time kidogo..mimi hajani-impress sana kwenye game alizopewa nafasi lakini kwa sababu ni mazingira mapya na kila mchezaji kuna namna tofauti ya kuadapt basi ni vizuri tuendelea kumpa muda.

Forums kubwa za United watu wanataka mfano kesho BF apumzishwe VdB acheze nafasi yake..wengi sana wapo concerned na development ya VdB ndani ya OT
Europa league February wakicheza vizuri ni mechi 9 Hizo, plus Fa na sub za hapa na pale anaweza hata akacheza mechi 20.
 
Mkuu,,,George best kacheza man u kuanzia mwaka 1963 hadi 1974 ,,

Hakucheza na gigs wala cantona..

Au unasema George best yupi alikuwa kinda mwaka 1992?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]huyo jamaa ni taahira

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hatari
 
Back
Top Bottom