Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Huyo shabiki wa man utd,lazima aoneshe mapenz yake hadharan ,bila kufikiliaMichael Owen says it was clear offside and the goal ought to have been ruled and if Manchester City wins a league because of this blunder it will be the saddest day in the EPL
The point is,offside position yake imemsaidia kuwin mpira..maana alikuwa nyuma ya Mings..anyway tusibishane sana,maana hata kama sheria ndo ilivyo bado hai-make sense na inabidi itazamwe upyaAstonvilla wamenyanganywa mpira ,rodrigo yupo onside
Ule mpira ungemfikia moja kwa moja rodrigo basi ingekuwa clear offside ,kitendo cha beki yule kuwin mpira tayar hakuna haja ya off side kwan ni faida kwa villa
Yule beki anakaa na mpira mpaka ananyanganywa si offside ishakwisha
Legeza ubongo mkuu
Msipende kukaza kichwa ,kwa mtu anayejua mpira na kuangalia daily hawezi sema ile ni offside ,labda awe hajitambui
Rashford martial greenwood lingard are midtable team players , toka niijue man utd mwaka 1998 hawa ndio washambuliaji wa ovyo kuwahi kutokeaJack Grealish ni kiumbe anayehitajika kwenye hii timu yetu..
Ole sana inabidi apunguze reliance kwa Martial na Rashford..They have to earn their starting spot by giving absolutely pure class performance..Hatuwezi kuna na front three nyoronyoro vile na ukashinda mataji makubwa.
James Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?Rashford martial greenwood lingard are midtable team players , toka niijue man utd mwaka 1998 hawa ndio washambuliaji wa ovyo kuwahi kutokea
Mchawi utamjuaNarudia tena, Nyumbu hana uwezo wa kuifunga Fulham ya Scott Parker ndani ya Craven Cottage stadium.
Lampard ndio anacheza uwanjani au? Maana bonge la timu hujitetea hata kama kocha ni mbovuSisi tunafungwa tu kwa sababu Lampard ni takataka..ila tuna boonge la timu..
Umesema kweli Mimi nalia na consistency ya ovyo ya hawa vijana wawili martial na rashford na ni regular starts inauma sanaJames Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?
Rashford sasa hivi ni kati ya wachezaji Ghali zaidi duniani, Ukitoa Mbape na Haaland kuna kinda Gani utasema ni mzuri kuliko Rashford?
Pia Greenwood anakuzwa Bado ila nafasi yake ni Mshambuliaji wa katikati, anachezeshwa pembeni sababu hakuna mtu kule, nafasi yake itakuja Europa Akue vizuri.
Na Martial pia Ana nafasi yake, japo yupo kwenye form mbovu ila bado ni mchezaji wa kutegemewa hasa uwezo wa ku hold ambao wachezaji wengi kule mbele Hawana.
Lingard Ana nafasi kama backup player kwa kikosi cha sasa.
Bado pia tu naweza kusajili hata wachezaji watatu zaidi kule mbele kwa kikosi chetu bila kuuza mtu.
Sijakuelewa kabisa na siwezi kukuelewa, eti Bruno hana skills, hii ni comment yako ambayo umetoa boko la mwaka.
Bonge la ndizi pogba anarudi2nd goal. PogbaView attachment 1682313
Watu mnaomuongelea vby Greenwood huwa nawaona ni watu msioona mbali na msiojua wachezaji wazuri wakoje, mtoto mdg km Greenwood kwa mpira anaocheza na bado kuna mtu anamsema vby huwa nashangaa sana, kwa kifupi ninyi huwa nawaita washabiki-form yn mchezaji akicheza vzr mechi moja basi ni mchezaji mzr zen akiharibu mechi ijayo ni mbovu.Rashford martial greenwood lingard are midtable team players , toka niijue man utd mwaka 1998 hawa ndio washambuliaji wa ovyo kuwahi kutokea
Watu wanapenda kuongea ongea tu pasipo kujua wanaongea nn,huyu Greenwood juzi tu hapa walikuwa wanamuimba kwmb ni the best lkn leo wameanza kuropoka, the same applies to Fernandes kuna mtu anaongea kabisa eti hana skills duuhhTupeni Greenwood tuwape Tammy Abraham
Anawapeleka chato ..Anaejua sosha anatupeleka wapi aniambie maana mie hata sijui
Anatupeleka MoshiAnaejua sosha anatupeleka wapi aniambie maana mie hata sijui
James Wilson, Danny welbeck, macheda, Bellion, Falcao, Owen, forlan, Alan Smith etc hawa walikuwa na viwango zaidi?
Rashford sasa hivi ni kati ya wachezaji Ghali zaidi duniani, Ukitoa Mbape na Haaland kuna kinda Gani utasema ni mzuri kuliko Rashford?
Pia Greenwood anakuzwa Bado ila nafasi yake ni Mshambuliaji wa katikati, anachezeshwa pembeni sababu hakuna mtu kule, nafasi yake itakuja Europa Akue vizuri.
Na Martial pia Ana nafasi yake, japo yupo kwenye form mbovu ila bado ni mchezaji wa kutegemewa hasa uwezo wa ku hold ambao wachezaji wengi kule mbele Hawana.
Lingard Ana nafasi kama backup player kwa kikosi cha sasa.
Bado pia tu naweza kusajili hata wachezaji watatu zaidi kule mbele kwa kikosi chetu bila kuuza mtu.