Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Mimi kabla ya mechi nilimwona akifunga second half na ile free kick la kushangaza kagonga ukuta hii tunaita lack of concentrationIle juzi mi nilichana mkeka na siilaumu UNITED hata kidogo, lawama zote kwa haka ka rashid.
Mwanzo wa ligi, mechi 5 zilizopita Old Trafford tumeshinda mechi 4 kati ya 5, tena hio draw moja ni vs Man city. Kwenye ligi last time kupoteza ni vs Arsenal, miezi karibia mitatu iliopita.Na pia tuna possibly worst home record
Dialo siyo chaguo la Ole..Dialo amenunuliwa na nani?
Kwa arsenal utachomoka wewe? Nyie ci wateja wa Arse8?MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER UNITED
1.Fulham (A)
2.Sheffield Utd (H)
3. Arsenal (A)
4. Southmpton (H)
5. Everton (H)
MECHI 5 ZIJAZO ZA MANCHESTER CITY
1. AstonVilla (H)
2. Westbrom (A)
3. Sheffield Utd (H)
4. Burnley (A)
5. Liverpool (A)
MECHI 5 ZIJAZO ZA LIVERPOOL
1. Burnley (H)
2. Tottenham (A)
3. Westham (A)
4. Brighton (H)
5. Manchester City (H)
MECHI 5 ZIJAZO ZA CHELSEA
1. Leicester (A)
2. Wolves (H)
3. Tottenham (A)
4. Sheffield (A)
5. Newcastle (H)
NB: Bado naiona Mancheter United itakua inaongoza Ligi hadi Feb 15
Wewe siyo mwenzetu Pogba vs Drinkwater are u serious?Wakuu hatuwezi kuandika barua kama mashabiki wa man u Tanzania tukaomba pogba auze achukuliwe dany drinkwater?
Nadhani leo ni mara ya pili unamuongelea huyu jamaa. Mara ya kwanza nilimfollow na sasa nakula uchambuzi wake murua tuwale wenzangu na mimi tuliojaaliwa macho mazito pindi tunapoangalia mpira kuna mwanadamu anaitwa Eric Laurie pale twitter anaweza kutusaidia. Ni Performance Analyst & Academy Coach wa Molde fk, asikwambie mtu ukiufahamu mpira ni raha sana kwa sababu unapata kujiweka daraja la kipekee.
utaweza kumtambia mosdef, george ambangile na wengineo.....kinyume na hapo utakuwa ni msimuliaji wa mpira kama daemusin na wenzake
ngoja nishushe baadhi ya post zake
watu na shughuli zao brother, inafikia hatua unajiulizaNadhani leo ni mara ya pili unamuongelea huyu jamaa. Mara ya kwanza nilimfollow na sasa nakula uchambuzi wake murua tu
Asante kwa kushea hii kitu Daemusin
Ambangile anaiba madini huko halafu tunamuona bonge moja la mchambuzi...watu na shughuli zao brother, inafikia hatua unajiuliza
sisi wengine macho yetu ni madogo ndio maana hatuoni mambo mengine?
ila na uelewa uwepo kinyume chake utasoma na kuangalia picha tuAmbangile anaiba madini huko halafu tunamuona bonge moja la mchambuzi...
✓Fernandes ana-complicate mambo sana,piga pasi nyepesi tu itafika..Game kama hii unaitaji fine passes..sifurahishwi sana na general play yake
✓Rashford anajikuta balloon d'or winner tayari..Lile lilikuwa goli kabisa.
✓Shaw+Pogba wamecheza poa sana..na sasa ndo mtaona ni jinsi gani Shaw lazima aanze ahead of Telles kwenye game kama hizi.
Tumecheza na Liverpool mbovu sana na tumeshindwa kuchukua three points..Anyway,more still to come,let's keep our heads up.
GGMU
Nadhani anafanya hii kitu kama kazi tofauti na sisi tunoafanya kwa ajili ya burudani tu zaidi.watu na shughuli zao brother, inafikia hatua unajiuliza
sisi wengine macho yetu ni madogo ndio maana hatuoni mambo mengine?
halafu jamaa anafanya analysis kwa timu zote.
====
nimezipokea shukurani zako
Kuna ule utaratibu wa ambangile wa kila jumatatu kiasi fulani ulitaka kufanana na makala za ericAmbangile anaiba madini huko halafu tunamuona bonge moja la mchambuzi...
Mimi namlaum kocha kuendelea kumpa nafasi mtu asiyejua maana ya team.. kibinafsi sana hiki kijotiAmuangalie cavani hapo analalamika wkt huyo fala bado anao mpira.
Tatizo la trashford ni kujiona tayari keshakuwa world class wkt bado sn.
Ila mpira watu tunauona kwa macho tofauti asee.Wakuu jana luke shaw kanikera sana, game ijayo aanze Telles.
Yeyote ambaye huwa ana recomme d kuuzwa kwa Pogba huwa simwelewi. Hv unanuuzaje Pogba, tuna mchezaji gani wa ku-supply mipiraWakuu hatuwezi kuandika barua kama mashabiki wa man u Tanzania tukaomba pogba auze achukuliwe dany drinkwater?