Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nyie Pundamilia leo lazima mkae!

Yaani kukaa juu tu tumekuwa hatukai kwa amani..

Najua mlikuwa mnapiga kelele kwa kuwa hamna uwezo wa kukaa juu kwa kikosi mlichokuwa nacho.

Leo ife ng’ombe ife masai!
 
Basi ligi ya uingereza msimu huu ni mbovu ina maana timu zote zimeoza unawezaje kushinda ndondokela hadi kuwa wa kwanza?
United inapwaya kidogo upande wa technical bench ila timu inao wachezaji wazuri kushi dana. Hata reserve wa United ni bora kuliko Liver.

Coarching na filosofia ndiyo haijawa muafaka. Timu haitaki ku-posses na inacheza slow km kuvizia vizia
 
Mshaandaa maturubai ya matanga!!???

Mpokea rambirambi Kitaobu sijui yupo
 
OGS anapenda kufungwa,yani unawaweka Baily na Cavani benchi.Kule nyuma kuna pipa na mfuniko mbele yule tozi akitembea anabinua mgongo.

Naona anataka kutupa la kuongea majirani.
 
Back
Top Bottom