Manchester United (Red Devils) | Special Thread

You are right Nzi, nakuunga mkono kwa 100%,nadhani ni kwasababu ya tabia ya liverpool kupenda kujitoa mhanga.
 
Last edited by a moderator:

upo sahi mkuu ni kweli kuwa ferguson alikuwa na kitu cha ziada pale OT na fans wa man u wanatakiwa wakubaliane na uhalisia kuwa itamchukua moyes muda kidogo kukaa sawa na kuweza kukita mizizi yake pale OT. The problems with many man utd fans wanadhan stil wapo katika fergie era kwamb kila siku ni ushndi and dat y wanakosa uvumilivu but tanx kwa mkuu NZI ni mmoja kati wengi ambaye sio siri anaonyesha uvumilivu na timu yake.
 


Brown envelopes na vitisho. khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee


BTW Mmepangiwa timu ngumu sana kwenye group lenu ..... ... West Brom, Fulham, Man City, Cardiff, Swans etc. Belo, Ngongo, manda Mfarisayo, Nzi, BJ, ICU customer Eqlpzzzzzzzzzzzzzz wote wameunyuti.
 
LEAGUE TABLE 2012 after 6 games





mkuu hii baada ya game 6 mlikuwa na point 12 ....

msimu huu game sita mmekusanya point 7 ....

lower ur expectations man ....

msimu huu mmekalia kuti kavu
 
Reactions: BAK
eti walidai hivi " tushamaliza mechi ngumu "" manure bana ,

mara opps! westbromwich albion hawa! ... hehehehehehe!!!!
 
eti walidai hivi " tushamaliza mechi ngumu "" manure bana ,

mara opps! westbromwich albion hawa! ... hehehehehehe!!!!

Bado Tottenham na Arsenal, wao si wagumu eh!... watakiona mwaka huu..
 
Kitu kikubwa kinachomshinda Moyes ni kushindwa kupanga wachezaji kutokana na aina ya game,hii ndio siri kubwa ambayo SAF alikuwa anawashinda makocha wengine,alikuwa anajua wachezaji wa kucheza mechi kubwa na wapi wa mechi ndogo
Wachezaji wa ManU nao wanastahili sana kulaumiwa,wengi wao wanacheza chini ya kiwango so far Rooney ndio mchezaji ambaye amecheza kwenye kiwango kinachostahili.Evra,Rio,Nani,Young,Anderson,Wellbeck,Smalling,Giggs,Carick na wengine wanacheza chini ya kiwango.
 
Arsenal sio timu ngumu ...... ....... .......


Bora umejitokeza wenzako wameunyuti. Vipi kulikuwa na topic hapa ya Welback ati ni mkali chacha ukaliwake uko wapi?
 
Reactions: BAK

Kama chikosei wewe ni loser fools chacha tangu EPL ianzishwe (katika hii format) ni lini mlichukua huu mtanange wa EPL? Just asking!
 



.....Hehehe, nani anajukumu la kuinua kiwango cha wachezaji?
Hebu acheni visingizio bana!
 
View attachment 114377

.....Hehehe, nani anajukumu la kuinua kiwango cha wachezaji?
Hebu acheni visingizio bana!
Kwa kiwango cha Manu kwa sasa Moyes anastahili kulaumiwa but hata wachezaji wengi wanamwangusha kocha wengi wako chini ya kiwango, I hope Januari tutakuja tumsajili Ramsey aje kutusaidia naona siku hizi anafunga kila mechi utafikiri Messi
 
Kwa kiwango cha Manu kwa sasa Moyes anastahili kulaumiwa but hata wachezaji wengi wanamwangusha kocha wengi wako chini ya kiwango, I hope Januari tutakuja tumsajili Ramsey aje kutusaidia naona siku hizi anafunga kila mechi utafikiri Messi

......pheewww, CRISIS!!!

 



mkuu hii baada ya game 6 mlikuwa na point 12 ....

msimu huu game sita mmekusanya point 7 ....

lower ur expectations man ....

msimu huu mmekalia kuti kavu

Huyo ni shabiki wa Liverpool
 
Since wewe ni mshabiki wa ukweli wa ManUtd utakubaliana nami kuwa "babu" alikuwa na kitu cha "ziada" pale OT...tactically,technically,na hata psychologically. Moyes bado ila with time anaweza kuweza.
Hakuna ubishi kwamba David Moyes alitambua kiatu anachopewa kukivaa badala ya SAF ni kikubwa mno. Siyo Moyes tu, kocha yeyote ambaye angepewa kurithi mikoba ya SAF pale OT, lazima apate tabu mwanzo. SAF alijenga himaya ya mashabiki waliozea mambo matamu mara kwa mara...katika kipindi alichokaa pale na mafanikio aliyoyapata pale ni ndoto kwa kocha kuja na kutaka kuyapata mafanikio kama yale kwa kipindi kifupi. Ndiyo maana wakati wa hotuba yake ya mwisho pale OT, SAF alisema kitu kimoja cha muhimu sana kwa mashabiki, nacho ni kumuunga mkono na miguu kocha mpya, David Moyes. Mashabiki wa ukweli wa United ndiyo tunachokifanya sasa kwa Moyes. Manchester United ni klabu kubwa mno, haya yanayotokea sasa yatatulia tu! Kwa muda aliokaa pale OT, ni sawa kabisa kuna na 'kitu cha ziada'. Miaka 26 katika timu moja siyo mchezo mazee....hilo halina mjadala...kitu hicho ndicho kinampa shida sasa Moyes, kuestablish authority pale OT na kwa wachezaji pia, ili hadi janitor pale OT ajue who is the boss!!
As for this season ni vizuri focus iwe kwenye top 4 zaidi kuliko kufocus zaidi kuwa tittle contenders...kama ikitokea iwe bonus tu.
Kwa bahati mbaya, toka zama za premier league zianze, hilo halijawahi kuwa lengo la Man United. Na sioni sababu ya msimu huu kuwa na lengo kama hilo. Vijitimu vidogo ndio uwa na maleno kama hayo, eti kumaliza top 4!!! Manchester United siku zote ni title contender, na itabaki kuwa hivyo daima. Msilete sababu za kufananisha zama za Liverpool; kipindi kile mazingira yalikuwa tofauti mno na sasa. Sasa mpira unatawaliwa na: (1) uwezo wa kujenga timu kuanzia kwenye academy (United wamekuwa wakifanya hivyo toka mwaka 1936, ambapo kila mwaka lazima zao/mazao ya academy yaingie kwenye first team); (2) uwezo wa kipesa wa kununua world class players (United being one the richest clubs in the world, has money to buy top players, ni jambo la Edward Woodward kujifunza tu namna ya kucheza siasa za transfer targets and activities; (3) uwezo wa idara ya marketing za clubs katika kumarket timu kwa wadhamini na sales za merchandises za timu (United wapo vizuri katika hili, ndiyo sababu ya Woodward kuwa promoted, alikuwa executive officer katika idara ya marketing na ali-attract wafadhili wengi waliokuja na deals za kufa mtu kwa timu; pia katika sales, United is one of the leading teams in the world with more sales in their merchandises). Hivyo kwa hali ilivyo United, sioni sababu za kuhofia yaliyoikuta Liverpool!! United is bouncing back soon! Watch out this space!
 
Duuh!hii ni noma..Agrrrrr!! Wacha1 sijaunyuti bwana, bado ninaona nyota nyota🙂)
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…