Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
NiceNaona boss katupaisha
"There’s been loads of hard work and loads of patience to get to the position we’re in now. But it’s like if you climb Kilimanjaro or Mount Everest and you get to the top and you sit down and relax – what happens then? You’ll freeze to death."
Pre match conference
Hamuamini Bailly kwenye big match au!? Mechi na Man City alimuweka bench pia.Kwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
Wakuu nmeona line up !? .
Ole anazngua, anyway nlipenda cavan aanze, pia Eric bailly ;!!
Anampenda Sana martial,,,,!!! .
#GGMU
Victor Lindelof weakest link but the rest will do wellKwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
Hamuamini Bailly kwenye big match au!? Mechi na Man City alimuweka bench pia.
Lindelof na Maguire hawawezi kucontrol pressure hata kidogo..tusishangae tukifungwa vigoli vya kishamba shamba leo..Cavan na bailly mech yao hii maguire na lindelof watalala na viatu leo sijui huyu kocha huwa anafikiria nn au na yy ni mbaguzi?
Kuna mtu alisema utakuja kushangaa Lindelof anaanza match hii.Kwa huu upuuzi kwa kubadili kikosi kila uchwao tunapigwa labda itokee miujiza moja ya sababu zinazomfanya kocha wetu kuyumba hana kikosi kamili lindelof anarudi kikosini kamuacha bailly
Lindelof na Maguire hawawezi kucontrol pressure hata kidogo..tusishangae tukifungwa vigoli vya kishamba shamba leo..
Tuna CB gani wa kumweka nje Bailly?
MARTIAL NI MUHIMU.... PTUUUUUUUMech ya jumapili martial ni muhimu kucheza nimeangalia mech iliyopita martial,rashford na cavan naona wanaweza kufanya poa sioni kama fred anahitajika matic aendelee kuwepo pale nasema hivyo alisaidia sana ktk suala la kupiga pasi kwenda mbele kitu ambacho fred hana


Kuna mtu alisema utakuja kushangaa Lindelof anaanza match hii.