Point 3 zimekuwa nzito sana msimu huu.. unaifunga timu kubwa unapigwa na ndogo.Mourinho anakula spana tu huko..
Moto umekata kabisa
Hawa jamaa wajinga kweli rafiki yangu..Mwingine anakuambia huwezi kuwa bingwa bila kuwafunga wakubwa,nikampa mfano wa Spurs akazunguka zunguka tu.Point 3 zimekuwa nzito sana msimu huu.. unaifunga timu kubwa unapigwa na ndogo.
Kama hakuna unalofanya hv.. (wanaoendelea kubeza united muda utaongea)
Tatizo wanafananisha misimu..Hawa jamaa wajinga kweli rafiki yangu..Mwingine anakuambia huwezi kuwa bingwa bila kuwafunga wakubwa,nikampa mfano wa Spurs akazunguka zunguka tu.
Sure thingTatizo mnashindwa kutofautisha kuwa na squad depth nzuri na matokeo mazuri..kwa sasa United tuna squad depth nzuri..tunaweza kufanya rotation bila wasiwasi kabisa.
Baada ya tarehe 17 mje tena kuongea hiz pumbaTatizo mnashindwa kutofautisha kuwa na squad depth nzuri na matokeo mazuri..kwa sasa United tuna squad depth nzuri..tunaweza kufanya rotation bila wasiwasi kabisa.
Umeshaosha vyombo lakini?Baada ya tarehe 17 mje tena kuongea hiz pumba
Usitutishie nyau!
Mourinho anakula spana tu huko..
Moto umekata kabisa
Three things are certain in life. Taxes, death and Spurs bottling the league. I can bet my life those guys hawawezi kubeba ndoo. Wanachangamsha genge tu.
Niliwahi kumuambia Bavaria maneno haya kipindi Spurs wakiwa moto sana walikuwa na alama 20 sisi tulikuwa na 11 kama sikosei walikuwa wanaongoza ligi.Hawana ubora wa kubeba kombe labda wamalize nafasi nne za juu.
Collectively as a team, Wana execute vizuri strategy za mwalimu ila in long run siwaoni wakibeba ndoo.
Hi there!Niliwahi kumuambia Bavaria maneno haya kipindi Spurs wakiwa moto sana walikuwa na alama 20 sisi tulikuwa na 11 kama sikosei walikuwa wanaongoza ligi.
Washindani wa kweli kwa sasa ni Liverpool japokuwa watu wengi wanamfikiria Manchester City ila sioni kama wanaogopesha msimu huu naamini watamaliza nafasi ya tatu au nne. Mwezi wa pili utakuwa mchungu sana kwa City kama Pep akichanga karata vibaya unaweza kumuharibia pakubwa sana.
Kama kweli tunataka kombe main target yetu iwe kuhakikisha gap letu na Liverpool linakuwa kubwa zaidi kila tukiingia uwanjani. Hawa jamaa wapo vizuri sana ila wana-struggle na players fatigue kama wakitulia wanaweza kuwasha moto.
Mpaka sasa man utd hana uwezo wa kumfungaHi there!
Umepredict well.