Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Bayern mlivyoiona kwenye UEFA ndo mnadhani ni timu ngumu kiasi hicho?

Subiri mitoano ianze, utaelewa kwamba haya mambo yana msimu na msimu.

Brother record ya Bayern munich inajieleza yenyewe...
ndani ya mwaka wamepoteza mechi tatu tu
Kuanzia trh 11/01/2020 mpaka 08/01/2020

unadhani hiyo timu inabahatisha !???
 

weka akiba ya maneno mkuu..
 

Mkuu naona umemaliza na kinge hapo mwisho
. Kuweka msisitizo.
 
Brother record ya Bayern munich inajieleza yenyewe...
ndani ya mwaka wamepoteza mechi tatu tu
Kuanzia trh 11/01/2020 mpaka 08/01/2020

unadhani hiyo timu inabahatisha !???

Hakuna timu inayobaki juu muda wote, msimu huu atakutana na timu atafungwa.

Umefatilia kwenye ligi yake msimu huu? Hafungiki?
 
Hakuna timu inayobaki juu muda wote, msimu huu atakutana na timu atafungwa.

Umefatilia kwenye ligi yake msimu huu? Hafungiki?

NAZUNGUMZIA timu bora EUROPE kwa wakati huu na ni BAYERN

Na kama umesoma na kunielewa nimeonesha record ya bayern amepoteza mechi ngapi na kwa kipindi gani

tatu;Hata timu iwe kali kiasi gani lazima itateleza tu na kufungwa au draw
 
Muda wa kusubiri vijana wakomae hakuna, bado nina imani Arteta anaweza kuunga unga akapata timu nzuri, though siyo ya kuchukua ligi.
kivyovyote Arteta atahitajika kubeba viatu vya ferguson ili aweze kuirudisha arsenal katika njia ilio sahihi, na ili aweze kupita njia hiyo itawalazimu bodi ya klabu pia iwe tayari kumpa hela pindi anapohitaji kuitumia kwa dhumuni la kujenga nafasi fulani ya kiuchezaji, na hiyo pesa ni lazima ikatafutiwe target ilio sahihi (asije akajigeuza wenger wa miaka ya 2007 kwenda juu)

  1. ferguson alitumia academy na tukapata wachezaji tofauti wenye ubora na hapa mifano imejaa
  2. ferguson alisajili wachezaji wenye CV za kawaida na hatimaye akawatengeneza ili waendane na falsafa zake za kiuchezaji mfano silvestre, fortune quinton
  3. ferguson alitumia fedha nyingi pale palipohitajika...rejea usajili wa ferdinand, veron, berbatov n.k
akijifanya muumini wa academy na average players mfano wa willian bwana arteta atafeli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…