Hiyo ni mpaka mwisho wa show, hutakaa ukaamini.Kwa muda
Jambo la ajabu kwa Ole next game Nyuma Ni Maguire & Lindelof
Tatizo majeruhiBailly ni CB bora kabisa tuliyenaye kikosini..
Kama haujui kaa kimyaa mkuu, kaenda kwa mkopo kuleAliondoka on free transfer
Dah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu
Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.
Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.

Kwamba kuchukua ubingwa hii timu sio nature yake mkuu?
nafikiri ni david de gea peke yakeNi wangapi kwenye hiki kikosi wamechukua PL?
nafikiri ni david de gea peke yake
=========
nimemuondoa phil jones
Bro una roho ngumu kama Farao HahaaDah! Kwa hiyo hii thread ndo wageni tunajiondoa taratibu
Hongereni kwa kuongoza ligi baada ya miaka zaidi ya 8 huko.
Nawashauri muisevu table sasa hivi ili mbaki na kumbukumbu kwamba mliwahi kuongoza ligi.
Bro una roho ngumu kama Farao Hahaa

)Paul Pogba pia wakati wa Babunafikiri ni david de gea peke yake
=========
nimemuondoa phil jones
Alikuwa bado YouthPaul Pogba pia wakati wa Babu
Ni wangapi kwenye hiki kikosi wamechukua PL?