Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

cion kama man u itafanya usajil mkubwa sana ndan ya jan hii zaid ya yule dogo wa America Caicedo waje kuungana na facundo pellistri na A.Diallo wa atlanta wakacheze Man u-23 wapate uzoefu wa ligi ya Uingereza
Caicedo amecheza hadi timu ya taifa ya Equador..na amecheza na vigogo kama Columbia,Uruguay n.k

Umri mdogo lakin huyu akija anaenda first team direct.
 
Caicedo kama anakuja ni straight kikosi cha kwanza, ni mzoefu tofauti na hao wawili umri wake usikudanganye.

Qualifier amekiwasha sana na Ameshadominate midfield za kina Rodriguez, bantacur, velverde etc.

Na jamaa ni Dm, kwa kikosi chetu tunamuhitaji sana.

Diallo wametaka kumchukua kwa mkopo Atlanta ila Ole amekataa Hivyo at least atatrain na timu ya wa kubwa.

Tetesi ni huyo Moises Caicedo.
Hivi Amad Traore kwa kuguess tu next season atakuwa wapi?..First team akipigania namba au bado atakuwa huko PL U-23?
 
Hivi Amad Traore kwa kuguess tu next season atakuwa wapi?..First team akipigania namba au bado atakuwa huko PL U-23?
Kama dogo atakuwa na Attitude nzuri namba anaichukua kule kulia, Atlanta japo kacheza kidogo ila most of time alikuwa bench ina maana ana train na watu wazima tayari.
 
Adjustments.jpg
 
Kwa sasa aliyebaki na ujasiri wa kuongea kidhungu kwenye uzi wenu ni captain marvelous tu baada ya kugundua form yenu ya msimu jana sio kitu cha kudumu. Mliaminishwa na Klopp kuwa mnachukua mitano tena lakini sasa hivi westbrom peke yake anawatoa jasho anfield.
Na city huyu hapa anakuja hivyo epl itatawaliwa na manchesters baada ya game 5 zinazokuja.
Liverkuku imewauma sana united kuwa form hivi.
 
Back
Top Bottom